Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ya Dhahabu

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 11, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,747
  Likes Received: 3,100
  Trophy Points: 280
  <hr style="color: rgb(227, 223, 181); background-color: rgb(227, 223, 181);" size="1"> <!-- / icon and title --> <!-- message -->
  Gari ya Dhahabu
  [​IMG]

  Mercedes ya Dhahabu ya mwananchi mmoja wa Abudhabi


  Nawaachia picha ya gari hii ili mpate kuona wenyewe!!!


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Swali je watu wataicha ikisimama nje kwenye parking ?

  Nawaachia jawabu wenyewe.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,808
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 145
  Mwizi wa gari hii atamuuzia nani?
   
 3. R

  Renegade JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,089
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180

  Max mwizi atayeyusha na kuuza dhahabu.
   
 4. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Atayeyushia wapi?
   
 5. K

  Kijamani Senior Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwizi atakayefanikiwa kuliiba anitafute nitamnunuza.
   
 6. B

  Bumbwini Member

  #6
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wenzetu nchi za kiarabu hio sio ajabu magari kama hayo yapo mengi tuajabu ni huku kwetu tu,nahuyo mwizi atakae liiba atalipeleka wapi,huna wakumuuzia na utalipitisha border ipi,wenzetu wana security ya hali ya juu inngekua bongo unaliiba kama vile unaiba embe lakini kwa wenzetu thubutu kuliiba uone utakamatwa baada ya dakika 5 tu.
   
 7. B

  Bumbwini Member

  #7
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui lina thamani ya dola milioni ngapi,wenye data anijuze hapa.
   
 8. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,466
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hata bongo zipo yangu hii hapa[​IMG]

  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,536
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
Loading...