Gari ya demu wako amekujazia na mafuta unaenda nalo kutongozea mademu wengine

Mwagitho

Senior Member
Oct 11, 2013
111
38
sijui wadada kama mnalijua hilo mnawaazima magari wapenzi wenu na kuwajazia mafuta kumbe wanaenda kula bata na mademu wengine.Kisu chako kinakuchinja mwenyewe
 
sijui wenye magari. mie nisiekuwa hata na tukutuku nijipitie tu kimyakimya....
 
hakuna demu anayekuwa mafuta bure bila kujua anachofanya,subiri yakukute ndio utajua mafuta ya bure maana yake ni nini,inaonekana wewe ni mario,unaona sifa kujaziwa mafuta
 
Ipo sana hiyooo, mdada mmoja kazini alimpa jamaa mkoko wake, jamaa ana demu mwingine chumba cha pili, ofisi moja, demu wa chumba cha pili hajui gari kumbe la demu mwenzie, kila siku anapewa lift kuja job, kumbe demu mwenye gari yupo likizo. Siku aliyorudi kazi demu mwenye gari lunch time kambeba jamaa yake wakapoze njaa kona ya pili wakakutana na demu wa chumba cha pili. Hahaaa demu wa chumba cha pili kuona demu mwenye gari anaendesha yeye akajua kasalitiwa, si akakataa lifti, halafu akafyonza kwa hasira, demu mwenye gari machale yakamcheza, kumuuliza jamaa akaruka kimanga. Kesho yake asubuhi tena jamaa kakaa kando demu mwenye gari anaendesha. Huyu wa chumba cha pili hasira zikamjaa akatuma sms kwa demu mwenye gari ati mwenzangu umenipora mwanamme wangu unampatia nini cha maana 071.. Au na gari yake kakuachia unaendesha, weeeee demu mwenye gari karibu amtoe mtu roho hahahahaha
 
hii nimeishudia usiku huu sio mimi mtoa maada jamaa kaja kumtongoza demu na gari la demu wake anayetongozwa anajua kama gari la mshikaji msela hana hata uwezo wa kujaza mafuta
 
gari tu mnakuja kutao mapuvu huku je nyie vingapi tuinawapa? pia mko wengi nyie lazima wote mlizishwe wa pekee ako labda umfungie kamba xo wese mtatoa na kidiga mtaliwa tu no way out
 
gari tu mnakuja kutao mapuvu huku je nyie vingapi tuinawapa? pia mko wengi nyie lazima wote mlizishwe wa pekee ako labda umfungie kamba xo wese mtatoa na kidiga mtaliwa tu no way out

aisee punguza povu...halafu hiyo "xo" kamusi ya TUKI haina..
 
Ujinga wa mtu mwingine hauwezi kunivuua wema wangu wa kumwachia gari. Ni mkubwa zaidi ya hilo, kama vipi napiga chini tu.
 
inasikitisha sana istoshe gari lenyewe labda la mkopo wenzako wanageuza guest
 
uzuri hiyo hela ya mafuta yanayojazwa imetoka kwa njemba nyingine, ngoma droo!
 
Yashatukuta hayooo!
Wanaume wengine ni Viazi kweli kweli hata hawathamini chochote toka kwa wapenzi wao.
 
Back
Top Bottom