Gari ya Biashara Inauzwa - ISUZU Journey roho

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Gari ya biashara ipo sokoni, aina ya Isuzu Journey, kwa sasa iko route ya Ubungo Masaki, TLB mpya inaenda Ubungo Tegeta, iko safi, engen kila kitu safi sana, kwa wanaojua magari ya biashara Isuzu Journey is the best for business, spea zpo nyingi na ni cheap sana, bei yake ni 18 Millioni, negotiable. Vibali vyote vpo uptodate, Insurance, MV License, Kodi y mapato, TLB Ndo yashughulikiwa now.

Unakutana na mwenye gari face to face, hain udalali hyo, pg no 0713 227 551

KARIBU SANA

View attachment 163527View attachment 163528 DSC02923.JPG
 
mkuu unaweza kufahamu ni ya mwaka gan. naomba norushie picha kwenye whatsapp 0766006611 hapa nimeshindwa kufungua picha.
 
Back
Top Bottom