Gari ya Azania Company inawaka moto muda huu jijini Dodoma

DAGAA WA MWANZA

Senior Member
Jan 27, 2019
126
500
Gari inaungua muda huu ni kampuni ya Azania, mpaka muda huu dk 30 zimepita gari inateketea, zimamoto hawajafika,
Wahusika chukueni hatua
 

Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,500
2,000
Kama katikati ya Jiji ambako ndiko Serikali ipo Zimamoto wanachukua zaidi ya dk 45 kufika sehemu ya tukio je, vipi tukio hilo lingetokea Mpwapwa hali ingekuwa je?

Ndio maana nashauri tuuze midege tuloinunua na tununue Gari za Zimamoto ili kupunguza majanga mtambuka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Fast Forward

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
389
500
Mmeshindwa kumsaidia dereva mwenzenu mpaka kakimbilia kukata horse?

Nyie mnakimbilia kuturekodia video
 

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
3,526
2,000
Kama Dar majanga tu makubwa yalikuwa yakitokea wanashindwa kufika kwa wakati sipati picha uko mkoani hali sijui ikoje
 
Top Bottom