Gari Rav4 L T213 DHE, imeibiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,283
Gari hiyo kwenye picha namba T213DHE TOYOTA RAV4 L yenye rangi ya silver imeibiwa kati ya muda wa saa 5 asubuhi na saa 8 mchana ikiwa kwenye parking za kitivo cha sheria, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Tusaidiane kusambaza taarifa hizi kwenye ma- group mbalimbali.

Atakayeiona tuwasiliane kwa namba hizi: 0683106558 0687771153
e935518826d33a9cccc92206a3b54403.jpg
 
So
Gari hiyo pichani namba T213DHE TOYOTA RAV4 L yenye rangi ya silver imeibiwa kati ya muda wa saa 5 asubuhi na saa 8 mchana ikiwa kwenye parking za kitivo cha sheria, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam.
Tusaidiane kusambaza taarifa hizi kwenye ma- group mbalimbali.
Atakayeiona tuwasiliane kwa namba hizi: 0683106558 0687771153
Source call
 
POLE SANA MUHIMU MAGARI KUWEKA SECURITY SYSTEM, ATA ALARM TU YAWEZA OKOA GARI YAKO NADHANI GARI YAKO HAIKUWA NA ALARM KWA AJILI YA SECURITY WEZI NI WAOGA SANA WANAJIAMINI TU WANAPOGUNDUA GARI HAINA ALARM
 
Poleni wahusika,
Wengine Kuna la kujifunza ktk hilo tukio.Kwamba wezi wanwezaje kupata funguo za gari.Je ni kule tunapo peleka kuosha magari? au service? au gereji? au kuwaazima wengine magari? kiasi wanapata nafasi ya kutengeneza funguo na baadaye kuja kuibwa kwa gari?
Je kuna uhalalai wowote ktk biashara ya kuchongesha funguo za magari na makazi? kuna ofisi nyingi za namna hii DSM hasa maeneo ya sinza Makaburini. Je biashara hii sio ndio yenye kurahisisha uwizi wa magari?
 
pole sana aisee...likipatikana ongea na auxiliary police uwe unapaki CoET ndani atleat humo kuna ulinzi...
hii ni kesi ya tatu kuisikia kuhusu wizi wa magari sanasana parking ya utawala,na hii ya huku karibu na hospitali
 
Wabongo bado sana.unanunua gari kwa milioni 30.unashindwa kufunga king'amuzi cha laki mbili na nusu
Naamini next time atajua umuhimu wa ving'ora.

Kwa upande wangu niliponunua gari yangu ya kwanza fasta niliijaza ving'ora kwa kujua kabisa kuwa kuna wizi wa magari.
 
POLE SANA MUHIMU MAGARI KUWEKA SECURITY SYSTEM, ATA ALARM TU YAWEZA OKOA GARI YAKO NADHANI GARI YAKO HAIKUWA NA ALARM KWA AJILI YA SECURITY WEZI NI WAOGA SANA WANAJIAMINI TU WANAPOGUNDUA GARI HAINA ALARM
Kama haujui ni bora upite tu kimya kuna mafundi wa kuiba professional wanasema wanatumia Sumaku wanaharibu hiyo system yote ya security na wanaweza kung'oa vifaa au kuondoka nalo kabisa.
Na Mara nyingi hawaliuzi kama lilivyo Bali wanauza kama spear
 
Poleni wahusika,
Wengine Kuna la kujifunza ktk hilo tukio.Kwamba wezi wanwezaje kupata funguo za gari.Je ni kule tunapo peleka kuosha magari? au service? au gereji? au kuwaazima wengine magari? kiasi wanapata nafasi ya kutengeneza funguo na baadaye kuja kuibwa kwa gari?
Je kuna uhalalai wowote ktk biashara ya kuchongesha funguo za magari na makazi? kuna ofisi nyingi za namna hii DSM hasa maeneo ya sinza Makaburini. Je biashara hii sio ndio yenye kurahisisha uwizi wa magari?
Umeongea kweli tupu mkuu
 
Back
Top Bottom