Hakuna choices nyingi.
Njia ya kati kuna Gracious na Arusha Express. Ukikosa wajaribu Kiazi Kitamu.
Unaweza pia zungukia ya Chalinze, kule kuna New Force, Hood... ila jipange kulala Makambako
Ukifika Arusha kamata Arusha express, rwahaaa mustarehe ila ukifika nyang'oro mwambie dreva apunguze speed zile kona balaa mwingine katumbukia shimoni juz kati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.