Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Ukiona unataka kununua gari na una waza juu ya CC na ulaji wa mafuta au sijui spare tambua bado haujafika level ya kumiliki gari..ukitaka kununua gari unatakiwa ujue unataka nini kwanza 1. Comfortability 2. Style (muonekano mzuri) 3. Fuel Economy 4. Performance (uwezo wa engine huko barabarani na nje ya barabara) hivyo vitu hauwezi kuvipata vyote kwenye gari moja lazima usacrifice kimoja upate vitatu au viwili
 
Nakuelewa sana mkuu apo toa namba 2. Ushauri kwenye hivyo vipengele vilivyobaki
 
Mi ningekuwa ww ningenunua kwanza gari ya mil 5 used ili inisaidie kujua gari na vitu vyake, pia inipe experience barabarani baada ya hapo ndo niende for dream car. Inaonekana huna experience ya magari unavyokuja kuomba ushauri humu mwisho wa siku utapotezwa kwa maoni mengi
 
Mkuu mimi kwenye kwenye suala uendeshaji sina shida na naendesha manual hivyo kwa uzoefu wa barabani nipo vizuri

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Natumaini wanajamvi wote ni wazima.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.

Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.

Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.

Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.

Asante
Volkswagen touran
 
Mkuu chukua chuma aina ya NISSAN DUALIS utafurahia sana maisha ya hapa duniani, tena kama kubebea familia ina adhi kubwa sana, kama ni kubebea watoto wa chuo utawala sana watoto wa chuo mpaka ukimbie wewe mkuu
Mwenyewe ameongela matumizi ya mafuta, kwa nini usimwambie pia nissan Duals inatembea 11kms kwa lita? Kwa nilivyo muelewa amelenga 14- 18kms kwa lita
 
Mi ningekuwa ww ningenunua kwanza gari ya mil 5 used ili inisaidie kujua gari na vitu vyake, pia inipe experience barabarani baada ya hapo ndo niende for dream car. Inaonekana huna experience ya magari unavyokuja kuomba ushauri humu mwisho wa siku utapotezwa kwa maoni mengi
 
Ni kweli, but gri ya cc chini ya 1500 nafikiri Lazima Ni saloon, then that budget ipo Juu kidogo!

Kwa nini usijisogeze a bit over 2000 mfano harrier Tako la na technology yake consumption na service Ni Rahisi?

Nashauri achana na salun car, go for suv, Ila for suv utapanda Juu kidogo cc Zake!
Point. Saloon car kibongo-bongo Ni kununua matatizo. SUV ndo mwake-mwake.
 
Back
Top Bottom