Gari ndogo imezama Ferry ilipojaribu kupanda pantoni saa 6:35 asubuhi ya leo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ndogo imezama Ferry ilipojaribu kupanda pantoni saa 6:35 asubuhi ya leo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Jul 30, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Nimesikia kuna Gari imedumbukia kwenye Maji ikiwa inapanda Panton...wanaovuka Maji mtu juze Jina mizi la kuzamisha vifaa kwenye maji limehamia Dar...

  Uongozi wa pantoni inautaratibu mbovu wa kupakia watu,magari,baiskeli,matoroli...


  Updates
  dereva anasema alikuwa ameingia kwenye pantoni,ukakatiza mkokoteni akarudisha nyuma kupisha mkokoteni,ulivyoingia ukaziba mpaka nafasi yake alipokuwa,kuna nafasi nyingne akajipaki hapo lakini akawa amezuia watu,akarudi kidogo,watu wakaingia wakajaa akakosa tena nafasi,kapten akapga simu kwa mlinzi wamtoe kuwa panton imejaa..wakati anatoka jamaa akaruhusu panton Gar ikaanza ku seleleka yeye akatoa mkanda akafungua mlango akaruka...

   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwa tz ni kawaida sana...nadhani hamna upotevu wa uhai hapo, na hilo ndilo la kushukuru Mungu....halafu unavyosema jinamizi limehamia dar una maana gani? kwani Nungwi na Stagit ipo dar??
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida vifaa vya uokoaji hakuna, na inasemekana dereva aliwahi kuruka lakini abiria wake mmoja bado yupo ndani.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Juzi Juzi si lilizama moja hapo na leo tena khaaaa yaleyaleeeeeeeee!
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hujanielewa..nimeuliza hlo jina limehamia na dar,lilikuwa ukanda wa watan zetu
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu wa kigamboni amenambia kuwa lile gari lilishaingia kwenye panton,ila wahusika wa panton wakasema alishushe gari kwakua panton imejaa,jamaa akakubali,ila wakati analirudisha rivasi na PANTON IKAONDOKA,,,,,,
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ila hakuna aliyepoteza maisha,,,,,,
   
 8. kau

  kau Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kweli limezama lakini dereva yupo salama.... hii tanzania kweli ni nchi ya ajabu sababu wavuvi ndo wanao hangaika kuliokoa hilo gari wahusika(mabaharia,jeshi la maji) ndo kwanza hawana hata habari wakati gari limezama upande wa kigamboni upande ambao JESHI lipo........................
   
 9. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wameshalitoa kwa msaada wa wavuvi askari ndio wamefika na kuanza kuwafukuza waliosaidia kulitoa!!!
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Serikali imejipanga ili lisijirudie tena!
   
 11. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  NI KWELI KABISA, NIMEPITA PALE LIVE NIMEKUTA WATU WENGI, PIA KUNA WAVUVI WALIOKUWA NA MTUMBWI YA ASILI BILA VIFAA RASMI VYA KUOKOLEA WALIKUWA WAKIZAMIA KITU KAMA WALIKUWA WANAFANYA JITIHADA ZA KUIFUNGA GARI KAMBA (KAMBA ZENYEWE NI ZA MANILA, JAMII YA KATANI) HUKU MAMLAKA HUSIKA ZIKIWA HAZIONEKANI JAPO BOTI ZA KISASA ZA POLISI HAZIKUONEKANA KATIKA JITIHADA ZA KUFANYA UOKOAJI WA MALI.
  HIYo NDO BONGO BANA, KAMA TUKIO LA KARIBU KABISA NA MAGOGONI KWA MH. JK TUNASHUHUDIA USANII MTUPU WATU WA KAGERA AU MAFIA KWELI MTAJIJU
   
 12. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hamna ***** hapo muwaonjeshe
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ngoja KOVA atatoa tamko akisikia
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  msamehe @si-mzinga, ana kichwa kigumu kama nazi.
   
 15. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  dah! so sad.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Hii nchi imelogwa, alieiloga keshakufa! Hakuna warning kama pantoni inaondoka!?
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ntake radhi......
   
 18. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Was on the other side nikaona upande wa kigamboni kuna gari ndogo inatumbukia kwa maji.

  Binafsi nachukulia huu ni uzembe.
   
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wanapiga HONI mara 3...
   
 20. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  nimeipenda hii, na lazima atalishwa maneno ya kwenda kuongea, maana iq yake haijitoshelezi lazima aongeze maneno ya wengine
   
Loading...