Gari mbili za aina ya IST(2004) zinauzwa bei poa..

Mwakyo

Member
Dec 14, 2013
18
1
Kuna gari mbili aina ya IST za mwaka 2004 kilometa chache zinauzwa bei poa kabisa..zimefika jana tarehe 14/12/2013 toka Japan.

Gari tayari zimeshashughurikiwa taratibu zote za TRA, Sumatra, service ya kwanza kama utaisafurisha kwenda mbali kilichobaki ni Wewe kuikatia insurance ya kiwango utakachotaka Wewe.....

Nitafute kwa namba hii 0752629999 au 0657389637.
 
Watanzania wengi sisi ni makanjanja,jamaa kaweka tangazo hata halieleweki ndio maana tunapigwa bao biashara online hatujui.

Sio ishu we kama unataka mzigo sema mambo ya kupigwa ndo tunataka kuyapoteza...better something than nothing
 
Kuna gari mbili aina ya IST za mwaka 2004 kilometa chache zinauzwa bei poa kabisa..zimefika jana tarehe 14/12/2013 toka Japan.

Gari tayari zimeshashughurikiwa taratibu zote za TRA 1387119392654.jpg , service ya kwanza kama utaisafurisha kwenda mbali kilichobaki ni Wewe kuikatia insurance ya kiwango utakachotaka Wewe.....

Nitafute kwa namba hii 0752629999 au 0657389637.
Na kilometa ni 78,000 na 101,000 km
 
Kuna gari mbili aina ya IST za mwaka 2004 kilometa chache zinauzwa bei poa kabisa..zimefika jana tarehe 14/12/2013 toka Japan.

Gari tayari zimeshashughurikiwa taratibu zote za TRA, Sumatra, service ya kwanza kama utaisafurisha kwenda mbali kilichobaki ni Wewe kuikatia insurance ya kiwango utakachotaka Wewe.....

Nitafute kwa namba hii 0752629999 au 0657389637.

Bei ni makubaliano
 
Mkuu name the price!niko ktk mchakato wa kupata usafiri pesa in hand 6 M maximum.
 
Mkuu vyombo vimesimama kwa 6M huwezi kupata....kwa hio yenye kilometa nyingi bei ndo 13.8M na hio nyingine 14M
Mkuu hiyo bei ni ya kipindi kile zimeingia, now zimeshuka mpaka kwenye 10mil tuseme,

Ni ushauri tu!!
 
Kachokoza mpaka umesema bei!
RTunashukuru kwa taarifa!

Sio ishu gari zilikua kumi Leo asubui zimetoka 4 kwa cash...na mbili zimewekwa kuna watu wamikoani wanakuja chukua...mbili ndo izo zinaletwa kwenu kama huwezi fika bei si tatizo mkuu...pia kwa ushauri ni mzuri ila habari ndo hio masela si kishachokonoa bei hio nimetoa
 
Kama umewapata wa mikoani kwa bei hiyo basi endelea kukomaa nao...sie wa hapa hapa umetukosa
 
Wala hisia zako tu...Wewe umeipata info mapema kuhusu hizi gari ila kuna wahusika wenye hela zao wanata kupata izo info in time watanipa info wala usipoteze time kufurahisha maboya wasikua na wazo hata lakumiliki gari...
 
Back
Top Bottom