Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

Mr. Clean

Senior Member
Aug 7, 2006
195
225
Gari lenye hali nzuri japo sio jipya (used)...lenye 4WD kwaajili ya kuhimili barabara za vijijini linahitajika....gharama iwe reasonable...about 4mio to 5mio....mwenye nalo awe tayari mnunuzi kulifanyia inspection ya kina...mahali DAR ES SALAAM....Kwa mawasiliano zaidi let's chat in PM!

......baada ya ushawishi, pia carina au corrola yahitajika.......msisitizo in good condition.....
 
COTANGENT

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
447
250
Toyota Cami 5.5m, IPO vizuri sana ni shida tu za hapa na pale inafanya niiuze, for more info nicheck pm
 
Mr. Clean

Senior Member
Aug 7, 2006
195
225
Nashukuru wote kwa majibu, kwa aliyeserious isipokuwa mkuu mgosi9(nilishasema used), kuweka picha kunaongeza hamasa kwangu na kwa mwingine anayehitaji pia...lla sina hakika kama Toyota Cam itapata priority(ni 4WD kweli)
 
gilaibomba

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
352
0
Kama uko Arusha pita Ngarnaro kuna LandRover Oldmodel iko bomba sana.Jamaa yuko karibu na oysterbay bar...lakini bei yake kama pembe..ni nzuri
 
kidumba

Member
Aug 16, 2013
65
125
Gari lenye hali nzuri japo sio jipya (used)...lenye 4WD kwaajili ya kuhimili barabara za vijijini linahitajika....gharama iwe reasonable...about 4mio to 5mio....mwenye nalo awe tayari mnunuzi kulifanyia inspection ya kina...mahali DAR ES SALAAM....Kwa mawasiliano zaidi let's chat in PM!
Njoo na 7M nikupe subaru
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom