Gari lililobeba mzigo upi unapenda lipate ajali karibu na nyumbani kwenu?

Kuna wengine wamezindika mali zao. Gari ikipata ajali, na moto unawaka. Yanabaki majivu, hamuambulii hata chupa ya maji ya kunywa. Jamaa wanaenda kulipwa na bima...
 
Lori la mafuta limepata ajali leo,bodaboda zaidi ya kumi na pikipiki zao wameteketea kwa moto baada ya tenki kulipuka wakiwa wanachota mafuta,morogoro muda huu.
 
Back
Top Bottom