Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Kuna habari kuwa gari limetumbukia Lilipokuwa likiwahi Ferry iliyokuwa imeanza kuaondoka
duh....rais awahi kuweka lile daraja alilosema.....RIP driver....
Mi mwenzio nikiiona hii pic nachanganyikiwa!
mi nikiona jina lako napata wazimu.....hauwezi kubadilisha kwa uhai wa moyo wangu?
Aisee, mbaya sana, hakuna geti na walinzi pale?
Ya kujitakia vipi? Kulitakiwa kuwe na njia za kuzuia mambo kama hayo yasitokee. Jee hakuna supervisor pale?