Gari latumbukia Ferry Dar asubuhi hii...

Ya kujitakia vipi? Kulitakiwa kuwe na njia za kuzuia mambo kama hayo yasitokee. Jee hakuna supervisor pale?
 
halafu kumbe ni gari lililokuwa linapeleka nyama Kingamboni, dereva amekufa!!

source: michuzi blog
 
duh....rais awahi kuweka lile daraja alilosema.....RIP driver....
 
duh....rais awahi kuweka lile daraja alilosema.....RIP driver....

Mi mwenzio nikiiona hii pic nachanganyikiwa!
avatar20103_15.gif
 
mi nikiona jina lako napata wazimu.....hauwezi kubadilisha kwa uhai wa moyo wangu?

we preta na ifo lako, r we speaking the same language?, wenzenu twazungumuzia ajari na upotefu wa maisha nyie mwakonyezana?, u nee to take some issues serious.
 
Hiyo iliishatokea kwa gari ya jeshi wakaitoa sasa hiyo ya nyama... eh. Matatizo makubwa. Baada a tukio hilo, nimemkumbuka Mzee Mkapa aliyekuwa amesema angehakikisha daraja la Kigamboni limekamilika kabla ya Octoba 2005!!! Sasa ona watu wanaendelea kufa bila sababu.
 
Ya kujitakia vipi? Kulitakiwa kuwe na njia za kuzuia mambo kama hayo yasitokee. Jee hakuna supervisor pale?

Pamoja na mekanizim inayotakiwa kuwepo kuzuia gari kuingia wakati ferry imeanza kuondoka, Bado uzembe wa dereva uko palepale! huwezi kuchomeka gari kwenye feri inayotembea, ni ukichaa! R.I.P
 
Ni kweli Amoeba lakini sisi binadamu ni watu wa ajabu sana. Na hasa sisi Watanzania ambao siku zote tunataka short cuts kufikia utajiri wa haraka.

Unajua Mzungu hamwamini mwenzake hata kidogo. Ndiyo maana unaona askari wa traffic anacheki magari na kuyapa tickets, ukivunja sheria utahukumiwa na kadhalika.

Na supervisor siku zote yupo kuhakikisha kwamba wewe uliyepewa kazi hukuzembea. Na yeye huwa hataki kupoteza kazi yake kwa sababu ya uzembe wako.

Ingekuwa Ulaya huyo aliyepewa dhamana na supervisor wake wote kibarua kingeota nyasi.
 
Jamani,

Mara nyingi ajali zinazotokea pale na hasa ya gari kutumbukia ni ya kujitakia... ferry staffs howa wanazuia watu kuvuka geti na main reason ni usalama wa magari kwani madereva wengi ni wambishi na huwa wanadhani wanaweza kuchomekea au kudandia kama wanavyofanya kwenye taa za barabarani.

nina imani kubwa wamba walizni walifanya kazi yao ila huyo jamaa aliwachomoka au hata kulazimisha na si ajabu as he started going down toward teh ferry alikosa break...

mimi nimeshawahi kushuhudia watu wakilazimisha kwenda hadi kutishia kugonga wale walinzi na wakati mwingine unakuta mtu anaamua kwa kudhani ferry iko very slow

miscalculations ndio chanzo kikubwa cha madhara, si magari tu, hata wavukao kwa miguu
 
Jamaa alikuwa anawahisha Nyama... Nimesikitika saaaana! Hii imenikumbusha saaana kisa hiki cha "Wasukuma wawili walikuwa wanasindikizana kwenda kupanda Treni,walipofika Stesheni wakakuta Treni inaondoka wakaikimbilia saaana baada ya mita 300 mmoja akapanda aliyebaki akakaa chini akiangua KICHEKO... Jamaa wakamshangaa kwann unacheka wakati UMEACHWA! Huku akifuta machozi akawajibu "ALIYEONDOKA NA TRENI ALIKUWA ANANISINDIKIZA!!!" Sasa inaelekea Ndugu yetu atakuwa alichanganikiwa kama Msindikizaji aliyedandia Treni... Hata mimi pia nachanganyikiwa sana endapo nimeambatana katika foleni halafu katika speed kubwa kisha mstari wa pembeni ukatangulia huwa najisahau...
 
Back
Top Bottom