Gari latelekezwa kwa zaidi ya miezi 6 katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B

duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Kwa fikra zako hizi kama na wewe ni mwafrika ni ngumu kujielewa
 
inawezekan mkuu na wewe ulikua kwenye mishemishe za kuondoka na spea mbili tatu kwa bahati mlinzi akazima jaribio lako..!!
 
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Afrika ndiyo zetu kusaidiana wewe tafuta nauli, passport, visa na bibi wa kizungu/Mkoloni ukaishi huko kwao ulaya, ndiko mambo haya hakuna.

Huko kutakufaa sana hapa Tanzania siyo kwako 😔!
 
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Acha ujuha na wewe taarifa ni kitu muhimu katika Maisha ya kila siku mtoa Mada ameeleza vizuli Sana huwenda hiyo gari inabeba hata wakimbizi au inasafirisha bizaa za magendo na inatafutwa au usikute imeibiwa afu imeharibika hapo na jamaa wameitekelekeza baada ya kuona imebuma so kuna vitu vingi vinaweza kutokea na usikutwe hata wamemteka mkeo yupo ndani ya hiyo Gari...jifunze kuheshimu post za watu zinapotumwa humu ukiona hauielewei unapita kushoto waache watu wa intelejensia wadadavue mambo. Shubaaa mit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
51308540_1945954118863444_2592639218475859968_n.jpg

Wadau Kuna Gari kama Inavyooneka Pichani no za Usajili ni T961 BZT lipo Katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B Sasa liko pale Takribani Miezi 6 toka limeharibika na Lilipo sio sehemu salama kwani Kuna Kona

Nilibahatika Kusimama na kuonana na Mlinzi analinda hilo Gari na Kunipa stori Fupi kuwa toka Lilipo Haribika Dereva alie mkabidhi alimwambia anaenda kuchukua Spear Mjini toka siku hiyo hajawahi kumuoana Ila aliwasiliana nae

Kama baada ya Mwezi kupita akamwambia Anaumwa, na Baadae akawa hapokei simu akipokea anamwambia bado hajapata spear Duhumuni la kupost hizi picha kuwa yule Mlinzi anadai Anapata changamoto kubwa Sana hasa Usiku anadai Kuna Gari zina simama kwa lengo la Kutaka kuiba Spear, Wadau Kama yupo anaemjua Mmiliki wa hili Gari pichani Basi amfikishie Kilio cha Mlinzi .
51658838_1953679794757543_2355997773280575488_n.jpg

51689222_1953680298090826_5975184186099630080_n.jpg
Asante kwa taarifa mkuu achana na huyo juha anayekubeza hapo hizi ni taarifa muhimu Sana huwenda hiyo gari imeibiwa, imefanya uhalifu hivyo imetelekezwa hapo you never no anything can happen. Thanks mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf


Majitu kama nyinyi tunayaita mabonya. Nyie ndo mnapewa hesabu ya mafumbo,kujibu ukurasa mzima mnachora kuku wenye miguu ile ya jumlisha.

Nina hakika jinsi ulivyo na majungu,uliandika hiyo post ukiwa umekalia tako moja.Naalabuk!
 
miezi 6 na mlinzi yupo?huyo mlinzi anaishije hapo porini?mamlaka zote hazioni?mbona mengine hufuatiliwa haraka?mh!siku nyingine ukipita ujibanze ufuatilie muda mrefu,usijekuta hilo body hapo nyuma limesheheni,usiku business as usual!afu uchunguze kama mlinzi ndio huyo huyo kila siku!
 
Umefanya vyema kurusha habri hii humu, wahusika wa Serikalino wajisomee na kupata habri hii.

Watendaji wa huko inabidi wajiongeze kwa usalama wa wananchi wengine.. ilitakiwa wawe wameshaliondoa kama waliona mawasiliano kwa mmiliki hawajibiwi.

Kuna mengi yanabidi yatendeke.. inashangaza..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom