Gari latelekezwa kwa zaidi ya miezi 6 katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,980
14,741
51308540_1945954118863444_2592639218475859968_n.jpg

Wadau Kuna Gari kama Inavyooneka Pichani no za Usajili ni T961 BZT lipo Katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B Sasa liko pale Takribani Miezi 6 toka limeharibika na Lilipo sio sehemu salama kwani Kuna Kona

Nilibahatika Kusimama na kuonana na Mlinzi analinda hilo Gari na Kunipa stori Fupi kuwa toka Lilipo Haribika Dereva alie mkabidhi alimwambia anaenda kuchukua spare Mjini toka siku hiyo hajawahi kumuoana Ila aliwasiliana nae

Kama baada ya Mwezi kupita akamwambia Anaumwa, na Baadae akawa hapokei simu akipokea anamwambia bado hajapata spear Duhumuni la kupost hizi picha kuwa yule Mlinzi anadai Anapata changamoto kubwa Sana hasa Usiku anadai Kuna Gari zina simama kwa lengo la Kutaka kuiba Spear, Wadau Kama yupo anaemjua Mmiliki wa hili Gari pichani Basi amfikishie Kilio cha Mlinzi .
51658838_1953679794757543_2355997773280575488_n.jpg

51689222_1953680298090826_5975184186099630080_n.jpg



===============================
Update...

Nilifanikiwa kufanya Mazungumzo na Moja ya
Askari Kituo cha Polisi Ruaha -Mbuyuni Anasema hata wao Walijitahidi Kufanya mawasiliano na mmliki wa Gari no T 961 BZT Scania ambayo ni Mali JOPEPRI INTERPRISES - MOSHI Bila mafanikio kupitia kwa Mkuu wa Kituo lakini hatua Wanayotaka Kuichukua kuwafahamisha Tanroad Iringa kwa hatua zaidi.
 
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
hahaahha kuwa na amani mkuu hii habari haihusiani na TL maana hbari zake zishakutia kichaa. naona washambulia hata wasio na hatia.

kubwa ni mlinzi apate msaada, ikiwemo kulipwa ujira wake
 
duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Mkuu wewe ni mtu mbinafsi sana kitabia.
Kwa hiyo jambo lolote lisilokuhusu wewe basi hauwezi kutoa msaada.
Hata ukute mtu anauliwa pale, kwa kuwa havikuhusu utapita tu.
Ukute nyumba inavunjwa na wezi, kwa kuwa havikuhusu wewe utapita tu.
Lakini kama utaendelea na ubinafsi wako huo uliokithiri, ipo siku tabia hiyo itakutokea puani.
Ni kosa la jinai kuona kosa likitendeka na kulinyamazia kwa kuwa tu halikuhusu.
Nimefurahishwa sana na usamalia wema wa mtoa post.
Saazingine huyo dvr wa gari alishafariki kwa ugonjwa na mwenye mali akawa hana tena mawasiliano na dvr na haelewi lilipotelekezwa gari hilo.
Mtoa post, katoa msaada mkubwa sana na huo ndiyo utu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom