Gari lamsababishia kipigo akizani kafumania mumewe............

no9

Senior Member
Nov 11, 2010
188
18
Kunajamaa yangu kamuazima rafiki yake gari,jamaa kamchukua g/f wakaenda kuvinjari nyumba ya wageni,mbeya mmoja kapita yale maeno kaliona gari analifahamu kampigia simu yule mke wa mwenye gari uko wapi?akmjibu nipo salon,njoo haraka mumewo yupo hapa guest.........mke kakurupuka mpaka g..kufika kampigia cm mume toka humo ndani mie nipo hapa mapokezi,mume kamuuliza mapokezi kamjibu eeeh wapi si guest ya .......,mume kamjubu haya ngoja navaa nitoke.mume kachukua taxi mpaka pale g..yule mke kashangaa mume anatokea getini.mume kamuuliza hapa ndiyo salon naona umezoea kuja hapa hebu ngoja nimwite aliye kuja na hili gari kampigia simu akatoka nafunguo za gari unaona kwahiyo umekuja hapa umeona gari unajihami sasa hebu twende nyumbani ukanieleze vizuri kilichoendela tulikosa ushuda ungekuwa wewe ungefanyaje
 
nasiki jamaa yangu kamnasa vibao viwili halafu akapewa fursa yakujitetea
 
mmmh I HATE kupigwa.wangeongea kikawaida wasingeelewana?aah..wambea nao jaman,heri wangepata kalikizo siku moja khaa ona sasa
 
huyo mwanaume mpumbavu!
Kamuazima rafiki yake gari kwa nini asimwambie mkewe? Likitokea la kutokea? Vingapi anagawa na kutapanya kwa marafiki bila mke kujua? Na kudhihirisha upumbavu wake kajiona mjanja kumpiga mkewe.

Hovyo kabisa!!!!!
 
Usihukumu ndugu, kwenye mahusiano kuna mengi sana!
 
huu jamaa pamoja na mkewe sasa aibu imewashika kwa kosa ambalo halipo mara nyingi tafakari kwanza kabla ya uamuzi
 
huyo mwanaume mpumbavu!
Kamuazima rafiki yake gari kwa nini asimwambie mkewe? Likitokea la kutokea? Vingapi anagawa na kutapanya kwa marafiki bila mke kujua? Na kudhihirisha upumbavu wake kajiona mjanja kumpiga mkewe.

Hovyo kabisa!!!!!

Na yeye mwanamke kwanini asiulize kwanza? Anakurupuka tu, kipigo ni haki yake kabisa
 
Back
Top Bottom