Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturoga watanzania sio tu kafa, bali kwa hakika alikuwa fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?
Alieturoga watanzania sio tu kafa, bali kwa hakika alikuwa fundi!
Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!