Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Sema magufuli na tume ya uchaguzi ndio walioamua sio wananchi
Hakuna mwananchi mwenye Akili timamu timilifu anaweza kuichagua CCM zaidi ya NECCCM Tumeccm na Polisiccm kuisimika CCM madarakani kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturgo hakika ni fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Heshima kwako Salary slip

Mitano ijayo itakuwa na dilemma nyingi zaidi. Naona upo tayari.
 
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturgo hakika ni fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Hongera Rais Wangu kwa uzalendo
 
gar la mil 400.

Kawaida sana Labda wewe unaishi Itilimaa
Magari hayo mbona wanayo wakurugenzi wengi wa Mashirika ya Uma yaani Serikalini!
Au wai Hawausiki? Wao sio wakurugenzi?
Mashirika Mengi ya Serikalini yana V8!
Gharama hizo hizo..
Mnakuja kumuonea jamaa wa watu kwa kufuata Ushabiki eti Kaseku Msukuma kasema!
 
Kuna bifu kati ya mbunge wa Geita na huyo mkurugenzi ndipo wamemkomoa lakini kama ni vx zipo Nchi nzima na CCM ndiyo Serikali Duniani inayotumia vx Nchi nzima ni tofauti na Nchi Jiran zote
 
Kama Tatizo ni Gari la vx milion 400 basi wachunguzwe wakurugenziccm wote Tanzania nzima kwani wote wana Toyota vx za aina hizo na ndiyo utamaduni wa CCM kuwanunulia Gari hizo kisha mnunuzi kula 10% zake juu kwa juu
 
Pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa ni kubwa mno kuliko hilo vx la milion 400
 
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturgo hakika ni fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Siyo Halmashauri ya Geita bali ni Halmashauri ya mji wa Geita
 
Kwahiyo wanasaccos wote ni wakununuliwa tu kama bidhaa za madukani eeh!!? Kumbe watz wanaona mbali sana kuwanyima kura!
Hakukuwa na kura za wananchi, yale yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Back
Top Bottom