Gari la waziri likivunja sheria barabarani

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,891
2,000
Ama kweli aliye nacho anaongezewa ,hapo ingekuwa mwenzangu na miye kwenye ki 4th hand gx 100 wale jamaa wa faini za 60,000 wasingekuacha lakini angalia gari la waziri hapo
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,536
2,000
Polisi nao hawapo nyuma. Kutoka pale NBC kuelekea, saint Joseph, DMI hadi central police huwa HUKU DAR wakwendaga opposite direction mara nyingi sana..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom