MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Salam sana wadau,
Macho yangu hayakuamini pale yalipoona gari la wagonjwa katika kituo cha Afya likutumika kwenda shambani kwa ajili ya shughuli za kilimo. Jicho lilishuhudia haya wakati mwili ukiwa ziarani mkoani humu. Ilikuwa ni majira ya saa tatu ASUBUHI jana tarehe 14.4.2017 pale gari hili la wagonjwa katika kituo cha Mwika likiwa mitaa ya Kijiji/Kitongoji cha miwaleni wilaya ya Halmashauri ya Moshi ambapo inaaminika either dereva au boss mmojawapo wa Kituo hiki cha afya analitumia kwa shughuli za kilimo badala ya kazi yake husika
Tunaomba wahusika wafuatilie na wachunguze kwa umakini na wahusika wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.,
Hii sio tetesi, ni suala lenye uhakika bila chenga.....
Nawasilisha.