Gari la Sugu lawaka moto na mbunge Silinde anusurika kufa

source mkuu tujulishe na imetokea wapi.mana unatuweka mioyo juu

Mkuu nimefuatilia kumbe source ni gazeti fulani la udaku ijumaa wikienda kiasi presha imeshuka duh ila wacha nilitafute mwenyewe nijiridhishe na nijue kwa undani nini kilijiri si kila kitu ni cha kupuuzia japo source si reliable
 
Nina maanisha kuwa hiyo gari kama imelipuka, atalipwa jingine provided ana comprehensive Insurance...

Wewe unatumia nini???

sawa tunalijua hilo lakini nakuuliza hayo maneno yametoka kinywani mwako au kwenye masaburi
 
Mkuu mbona hivyo? Inamaana ikiwa ni kweli we kwako ni poa tu?? Hata kama kuna bima huwezi kufurahia ajali ya mwenzio.
Sijafurahia...nilichofanya ni kuwakumbusha watu umuhimu wa BIMA
 
ndiyo..

wakati sugu anatoka mbeya the same day dada Regia alipopata ajali ; gari la sugu nalo liliungua moto maeneo ya chalinze kwa mathias.....sugu anasema alitoka mbeya salama na gari lilikuwa limefanyiwa service...lakini kufka maeneo ya chalinze wakaanza kusikia harufu ya kitu kama kinaungua(yeye na wengine waliokuwa ndani ya gari pamoja na mhe.Silinde) harufu ile wadhani ni ya gari lingine walilopishana nalo.....

walipofika mbele kidogo wakakutana na Hiace ya abirian na konda aliyekuwa ametoa kichwa nje akaliona gari la sugu likiwaka moto kwa chini ..ndipo alipowaambia kuwa ''gari lenu linawaka moto'' ...sugu na wenzake wakashuka haraka na kweli wakaona vyuma vya chini ya gari vinawaka moto na hap wakachukua fire extinguisher iliyokuwan ndai ya gari na kuanza kuzima moto huo....

badae waliwasiliana na makao makuu ya chadema na mafundi waliletwa pale na baadae likavutwa hadi dar.....
 
Walio na namba za simu za Sugu wampigie athibitishe kuliko kujadili kitu tusichohakikishiwa tukio.
 
Hizi kampuni zinamake super normal profit!! kwa hiyo acha ziwajibike tu!!

Hivi ni watanzania wangapi wanakata comprehensive insurance? Wengi tunalipa insurance ili tusikamatwe na traffic so sio ajabu hata mh. Akawa Ana 3 rd party
 
We jamaa kama mchwawi vile...

Ndio maana una sura kama ulidondoka bafuni wakati unapiga zile naniii wanazopiga mavulana za kujichua...
MMh....si utaje tu? mtu mzima unakuwa na aibu!!

roho baya kama avatar yako.
Haahahah...hizo roho mbaya na nzuri ndio zikoje? is roho=moyo?
sawa tunalijua hilo lakini nakuuliza hayo maneno yametoka kinywani mwako au kwenye masaburi
Sijaongea chochote mkuu....nimetype tu on screen...sasa sjui hicho kinywa au masaburi vinatoka wapi hapa!!
 
ndiyo..

wakati sugu anatoka mbeya the same day dada Regia alipopata ajali ; gari la sugu nalo liliungua moto maeneo ya chalinze kwa mathias.....sugu anasema alitoka mbeya salama na gari lilikuwa limefanyiwa service...lakini kufka maeneo ya chalinze wakaanza kusikia harufu ya kitu kama kinaungua(yeye na wengine waliokuwa ndani ya gari pamoja na mhe.Silinde) harufu ile wadhani ni ya gari lingine walilopishana nalo.....

walipofika mbele kidogo wakakutana na Hiace ya abirian na konda aliyekuwa ametoa kichwa nje akaliona gari la sugu likiwaka moto kwa chini ..ndipo alipowaambia kuwa ''gari lenu linawaka moto'' ...sugu na wenzake wakashuka haraka na kweli wakaona vyuma vya chini ya gari vinawaka moto na hap wakachukua fire extinguisher iliyokuwan ndai ya gari na kuanza kuzima moto huo....

badae waliwasiliana na makao makuu ya chadema na mafundi waliletwa pale na baadae likavutwa hadi dar.....

Asante kwa taarifa ya kina na yenye kulemba umbambanuzi.
 
Back
Top Bottom