Gari la RC wa Shinyanga lagonga na kuua mmoja wilayani Kahama

Si ajabu marehemu akafunguliwa kesi ya
-kugonga gari la mkuu.
-Kutokuwa makini barabarani,
-Kumchelewesha na kumsababishia usumbufu mkuu.
MAANA NCHI HII UHAI WA MTU SI KITU CHA THAMANI TENA.
 
Ni bahati mbaya na wala sio tukio la kushangaza
Mbona ajali zinatokea kila siku?
Au kwakua ni mkuu wa mkoa?
 
Unakumbuka Gari ya Sugu ili gonga na kuua? Acheni maneno ya ajabu kwenye misiba.
 
Hapo nahisi hakuna kesi itakuwa kama kugonga treni vile make hata mjhusika no kusimama
 
Hawa walitakiwa wawe ndio mfano badala ya kufanya sisi ndio mfano! Kwani hizi sheria zinatungiwa wananchi wanyonge tu? Kama vile kauwa kipepeo vile hata hisia hawapati. Ni kweli Mungu pekee ndiye hakimu wa haki kuliko mahakimu wote!
 
Wanasema ukiwa nyundo, kila kitu unakiona ni msumari. Inakuwaje wameenda kwenye ajali na kushuka na mabunduki?
 
Taarifa ya polisi inasemaje kuhusu uwiano wa mwendo kasi na kasi aliyokuwa nayo eneo la makazi ya watu
 
Hawa Ma RC na Ma DC wa awamu hii wana viburi sn.

Nadhani itabidi tuanze kuwafyatua na sisi.
 
Kuishi Africa wakati mwingine ni hatari sana.
Ndio ameshakufa huyo maisha yanaendelea kama kawa..
 
Back
Top Bottom