Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,475
Huyo mtu
- kwanza nitamwambia ajaribu kuweka LOGIC katika kujua na anapofanya baadhi reasoning zake. sababu kuna mambo hayawezi kuingizwa maabara.
- Pili nitamwambia Asiangalie au kuwa na argument katika limited scope.
Tatu ajue kutoamini ni imani -ve ni kwamba anaamini but in a negative way.
Unamwambia aweke logic katika kitu kilicho beyond logic ?
Atawezaje kutokuweka argument iliyo na limited scope wakati ana argue kuhusu god the unlimited ?
Umesema kutoamini ni imani negative, sasa, huyu hana imani yoyoye, haamini kwamba mungu yupo, haamini kwamba mungu hayupo, hana imani yoyote, anasema "mimi sijui, na sijui kama hli jambo linaweza kujulikana kwa sababu mungu alivyoelezewa yupo nje ya kujulikana"
Ulivyosema wewe kwamba kutoamini kuwapo mungu ni negative belief, naweza kukubishia, kuna tofauti kati ya kuamini kutokuwapo kwa mungu na kutoamini kuwapo kwa mungu, huyu mtu siyo haamini, hataki ku deal na imani, hataki kuamini wala kutoamini, anataka kujua.
Utasemaje ?