Gari la Papa - Pope mobile, a distrust in God!

Hapa kilichosemwa na Peter Tosh kinatumika. " everybody wants to go to heaven but nobody wants to die"

Even if he believe in heaven ( presumably), why should he die prematurely! ( even though with his age it might be argued otherwise)

God's job finished with creation, after that you are on your own. And I believe Pope is in a position to know this better than his followers.

Btw I think bullet proof car is a good marketing strategy.......it gives a picture of how important he is.
And he is at it even if he is in no real danger( .......maybe :)...)

Kwa nini unasema Gods Jobs finshed na sio started with creation.? What did he finish to create? before nilidhani na wewe ni 1ja wa wale wasioamini uwepo wa Muumba.
 
  1. Wanaomtetea PAPA ni wapagani hawamjui Mungu.
Mungu hakuweka himaya ya kifalme duniani ametuweka tutumike ili turithi mamlaka ya kifalme mbinguni.

Mteteeni binadamu PAPA maana hamumjui Mungu alie hai.
Bora waislam kuliko wahalifu wanaojificha chini ya kivuli cha ukristo.
Someni !Wakorintho 11:1 (dare to say)

Kwa heshima na taadhima naomba nikuulize,unaijua historia ya ukatoliki?Na unajua kwa nini makao makuu ya kanisa katoliki yapo Vatican-Rome na sio Jerusalem ambapo Kristo alisulubiwa?Ukinijibu maswali hayo hutaweza kusema wanaomtetea pope ni wapagani na wasiomjua mungu.Na unaposema kuwa mungu hakuweka himaya ya kifalme duniani, ilipoandikwa WEWE NDIWE PETRO NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA wewe unaelewa nini.Na mwisho unaposema mteteeni binadamu maana hamumjui mugu alie hai wewe unamjua mungu alie hai,ulishawahi kumuona?Mungu alie hai alijionyesha kwa Musa tu na kwa wote tunaoamini amejionyesha kwetu kwa njia ya mitume ambao ndio hao hao mnaowapinga.Na kama asingekuwa pope mnayempinga hata makanisa yenu yanayochanua kila siku yasingekuwapo maana msingeweza kupata neno la mungu toka pale Kristo alipomalizia.AMINI ,TAFAKARI,TAFUTA UKWELI,na SIO KUPOKEA MAPOKEO UNAYOHUBIRIWA NA WAHUBIRI WASIOJUA MAANA YA NENO.Paka Mweusi anaomba kuwakilisha
 
Kwa nini unasema Gods Jobs finshed na sio started with creation.? What did he finish to create? before nilidhani na wewe ni 1ja wa wale wasioamini uwepo wa Muumba.

mungu kaumba kila kitu kamaliza...........yalobakia ya kuji protect, kuganga njaa, na masuala mengine yote ya binaadamu mwenyewe. Yeye sio kazi yake tena.

hapo kwenye red .....Kisa?
 
mungu kaumba kila kitu kamaliza...........yalobakia ya kuji protect, kuganga njaa, na masuala mengine yote ya binaadamu mwenyewe. Yeye sio kazi yake tena.

hapo kwenye red .....Kisa?

hata mi nlishangaa......but take it easy:A S 8:

anyways am watching though....and enjoying the debate too...
 
mungu kaumba kila kitu kamaliza...........yalobakia ya kuji protect, kuganga njaa, na masuala mengine yote ya binaadamu mwenyewe. Yeye sio kazi yake tena.

hapo kwenye red .....Kisa?

Hahaha kisa inawezekana kama bindamu nili mis inteprate mambo ndivyo sivyo.
 
mungu kaumba kila kitu kamaliza...........yalobakia ya kuji protect, kuganga njaa, na masuala mengine yote ya binaadamu mwenyewe. Yeye sio kazi yake tena.

hapo kwenye red .....Kisa?

Mungu kaumba kila kitu ? Na yeye kajiumba ? Au kama hajajiumba katoka wapi? Katokeaje? Kama yeye aliweza kutokea bila kuumbwa kwa nini kitu kingine kisiweze kutokea bila kuumbwa ?

Na kama yeye kaumbwa kwa nini awe muumba kila kitu ?
 
sasa huko tunarudishana kwa Hawking .................ile si ina thread yake?

hapa leo assumption ni kuwa Pope anaamini Bible. Discussion iendelee kumhusu Pope na sio kumhusu Mungu moja kwa moja.
 
Papa kasoma Anselm, na refutations za Anselm, kasoma St. Augustine, na refutation za St. Augustine etc

Kwa hiyo anajua kwamba mungu hawezi kuthibitishwa vizuri zaidi kuliko the average atheist, lakinin kaamua ku profess imani kwamba mungu yupo.

Well, imani by definition is the absence of knowledge, the absence of certainty. Kwa hiyo kwa sababu hana certainty of course atataka insurance policy ya bullet proof PopeMobile.

Angejua for sure kwamba mungu yupo na anawalinda watumishi wake, sio tu asingekuwa na PopeMobile, hata wale Swiss guards wake wasingehitajika.

Hizo refutation za Anselm na St auguztine zinasemaje amabzo wewe umezielewa tofauti na papa alivyozielewa?

Je papa angeamua kuprofess Imani kuwa mungu hayupo kungekuwa na urahisi gani.

Kwa hiyo kuamini au kutoamini uwepo wa mungu yote ni absence of knowledge. Na Wewe usiyeaaamini huna knowledge ndio maana huamini. Usijifanye kwa kuwa huamini basi ukadhani una knowlege. na certainity.
 
i love this thread.
Imeandikwa kwamba yeyote ambaye ameamua kumfuata yesu anapaswa kuikana nafsi yake kwanza. Hata paulo alipokuwa tayari kuhudumu kama mtume alitabiriwa kwamba atapata mateso hadi kufa kwa ajili ya yesu, lakini hakuogopa wala kusitisha nia yake wala kujiwekea ulinzi, pia stefano ammbaye ndp kwaanza alikuwa amepata daraja ya huduma alionja kiranga cha mafarisayo na kuuawa matendo 6: 8 - 15 inaelezea namna alivyokamatwa na ukiendelea zaidi utafahamu kifo chake kilikuwaje.
Kwa nini nasema hivyo?

Kwa sababu mungu hakuweka utaratibu wa binadamu kuchaguana ktk daraja la kumhudumia. Mungu humuandaa mtu amtakaye na kumthibitisha mwenyewe. Angalizo ni pale ambapo mitume walipomchagua mathiya kuchukua nafasi ya yuda msaliti lakini kumbe mungu alimwandaa dhalimu mmoja aitwaye sauli (paulo). Soma matendo 1: 15 - 26 ambapo pia hao mitume walitumia maandiko kuhalalisha umbumbumbu wao dhidi ya mungu. Kwa hivyo natangaza rasmi kwamba hakuna daraja la upapa ktk biblia na nyie mnaomsujudia mtawala wa vatcan mnaabudu sanamu na mnafanya ubatili mtupu.

Kiashiria kuwa siyo mtumishi wa mungu ni kwamba ndani ya taasisi yake kuna secret societies kibao mie nafahamu moja iitwayo opus odei ambayo tony blair ni mwanachama wake. Hizi taasisi ni mwiba kwa maisha ya binadamu zinaoperate kwa mtindo wa kimafia. Pia huyo papa hamwamini mungu kuwa anaweza yote ndo maana anajilinda kwa gharama kubwa sana za kibinadamu, pia sijawahi mahala popote papa akilithibitisha neno la mungu kwa ishara na miujiza kama amri ya yesu katika marko 16: 15 - 18 ambapo amesema kwamba lazima waambatane na ushuhuda wa imani yao na hawatarudhika kwa lolote lile wakimwamini.

Wapendwa wanajukwaa wenye msimamo wa kihafidhina nawasihi mrudi ktk kupiga magoti na kumwomba mungu mwenye rehema awafunilie maandiko yake mjue kama mnamwabudu yeye au la. Bila hivyo mtakuwa mnapalilia njia ya kwenda jehanum ambapo wafu hawaombewi rehema. Yesu alisema mtu akishakufa anakutana na hukumu yake sawia akingojea ufufuo wa pili apelekwe either ziwa la moto au paradiso. Ndo maana ktk post zangu sijawahi kumwombea marehemu apumzike kwa amani huwa ninawaombea rehema wafiwa ili mungu awafariji.

Papa siyo mtumishi wa mungu. Ni mhuni kama wahuni wengine wowote wa ccm
God bless
 
Hizo refutation za Anselm na St auguztine zinasemaje amabzo wewe umezielewa tofauti na papa alivyozielewa?
Sijasema mimi nimezielewa tofauti na papa, kwa hiyo swali lako linakosa mantiki ya kujibiwa.

Je papa angeamua kuprofess Imani kuwa mungu hayupo kungekuwa na urahisi gani.

Reason inampa burden of proof mtu anayesema kitu kipo. Anayesema hakipo hahitaji ku prove kwamba hakipo, anahitaji kuuliza swali tu kipo wapi. Anayesema kipo ndiye mwenye kazi ya ku prove.

Ndiyo maana polisi wakikutuhumu kwamba unauza madawa ya kulevya nyumbani kwako, hawakwambii "prove kwamba huna madawa ya kulevya nyumbani kwako". Wanakuja na search warrant, wana search nyumba, na kukuonyesha madawa kama yapo. Ukiwa huna madawa ya kulevya, hata ukitumia miaka 1,000 kuonyesha kwamba nyumba yako haina madawa ya kulevya huwezi ku "prove" kwamba nyumba yako haina madawa ya kulevya kwa sababu there is always a chance kwamba kuna kikona, ki basement, ki false door ambacho hujaangalia. On the other hand mtu anayetaka ku prove kwamba unayo madawa ya kulevya anachotakiwa kufanya ni kutuonyesha tu madawa ya kulevya haya hapa.

Kwa hiyo kuamini au kutoamini uwepo wa mungu yote ni absence of knowledge. Na Wewe usiyeaaamini huna knowledge ndio maana huamini. Usijifanye kwa kuwa huamini basi ukadhani una knowlege. na certainity.

Kumuongelea mungu anaye transcend knowledge katika realm ya knowledge ni sawa na kuongelea pembetatu yenye jumla ya nyuzi za pembe zake kuwa zaidi ya 180 katika Euclidean geometry. Unaongelea kitu ambacho hakiwezekaniki kutokana na definitions zako mwenyewe.

Mimi sina interest na imani, niambie unachojua. Hizi habari za imani nikikwambia naamini mwezi umetengenezwa kwa jibini huwezi kunibishia, si imani bwana ?
 
Wewe ulisema naamini, mimi nimesema haamini, wapi na wapi ?

Usirukeruka kama popo aliepotea njia mchana, jibu swali nililokuuliza, proof ipi unayo kusema kwamba pope haamini kwamba kuna Mungu? hata hivo hoja ya msingi haipo maana umeshakiri kwamba hakuna muunganiko baina ya kuamini kuna Mungu na kutumia gari yenye kuzuia risasi.
 
Haamini kwa sababu anatumia bullet proof, angeamini mungu anamlinda asingetumia bullet proof.
 
Sijasema mimi nimezielewa tofauti na papa, kwa hiyo swali lako linakosa mantiki ya kujibiwa.

Reason inampa burden of proof mtu anayesema kitu kipo. Anayesema hakipo hahitaji ku prove kwamba hakipo, anahitaji kuuliza swali tu kipo wapi. Anayesema kipo ndiye mwenye kazi ya ku prove.

Ndiyo maana polisi wakikutuhumu kwamba unauza madawa ya kulevya nyumbani kwako, hawakwambii "prove kwamba huna madawa ya kulevya nyumbani kwako". Wanakuja na search warrant, wana search nyumba, na kukuonyesha madawa kama yapo. Ukiwa huna madawa ya kulevya, hata ukitumia miaka 1,000 kuonyesha kwamba nyumba yako haina madawa ya kulevya huwezi ku "prove" kwamba nyumba yako haina madawa ya kulevya kwa sababu there is always a chance kwamba kuna kikona, ki basement, ki false door ambacho hujaangalia. On the other hand mtu anayetaka ku prove kwamba unayo madawa ya kulevya anachotakiwa kufanya ni kutuonyesha tu madawa ya kulevya haya hapa.

Kumuongelea mungu anaye transcend knowledge katika realm ya knowledge ni sawa na kuongelea pembetatu yenye jumla ya nyuzi za pembe zake kuwa zaidi ya 180 katika Euclidean geometry. Unaongelea kitu ambacho hakiwezekaniki kutokana na definitions zako mwenyewe.

Mimi sina interest na imani, niambie unachojua. Hizi habari za imani nikikwambia naamini mwezi umetengenezwa kwa jibini huwezi kunibishia, si imani bwana ?

Kianga kwa kuruka ruka bana kuna sehemu ulisema kwa kuwa papa amesoma pychology na philosphy anatakiwa kutambua kuwa mungu hayupo.

Vile vile umesema imani ni lack of knowlege .Sasa nakuuliza kutoamini ni availability of knowolege and certanity.? Ukianza kuleta mifano ya polisi naweza kuja na mifano mwingine . jibu ni kuwa Kutomini kwako ni imani vile vile. Kutoamini ni -ve imani.

Nani kasema kuwa mtu anayesema kitu fulani hakipo haitaji kuprove. ni kwasababu hauwezi kupove ndio maana inakuwa jibu jepesi kudeny existance. kwa Hawking tulishatoka kma alivyosema mchangiaji 1ja.

Sasa wewe usifanye Theolojia aliyosoma papa na psyccologia unaielewa zaidi yake. Wewe kama unataka kuelewa zaidi mtafute Kilaini tu akuchambulie na kukutafisiria kwa mtazamo wa kikatoliki ndio utajua imani ni ni knowlegde isyoweza kuingizwa maabara.

hapa jamaa anahoji kuhusu papa mimi sio mkatolki lakini namjibu kama mtu nayeheshimi na kuamini uwepo wa mungu na mamlaka za kidini zote zilizopo.
 
Kianga kwa kuruka ruka bana kuna sehemu ulisema kwa kuwa papa amesoma py chologia na philosphai anatakiwa kutambua kuwa mungu hayupo.

Vile vile umesema imani ni lack of knowlege .Sasa nakuuliza kutoamini ni availability of knowolege and certanity.? Ukianza kuleta mifano ya polisi naweza kuja na mifano mwingine . jibu ni kuwa Kutomini kwako ni imani vile vile. Kutoamini ni -ve imani.

Nani kasema kuwa mtu anayesema kitu fulani hakipo haitaji kurpove. ni kwasababu hauwezi kupove ndio maana inakuwa jibu jepesi kudny existance. Huko tulishatoka.

Sasa wewe usifanye Theolojia aliyosoma papa na psyccologia unaielewa zaidi yake. Wewe kama unataka kuelewa zaidi mtafute Kilaini akuchambulie na kukutafisiria kwa mtazamo wa kikatoliki ndio utajua imani ni ni knowlegde isyoweza kuingizwa maabara.

Vipi mtu akikwambia haamini kwamba mungu yupo na hajui kama mungu yupo, na wala hajui kama mungu hayupo, na kwa mujibu wa mungu alivyoelezwa, hili jambo haliwezekani kujulikanika kwa sababu mungu alivyoelezewa yuko nje ya kujulikanika. Kwa hiyo, kwa sababu hataki kuamini, anataka kujua, haamini kwamba mungu yupo, in fact haamini chochote, yuko against kuamini. Anataka kujua.

Utasemaje ?
 
Haamini kwa sababu anatumia bullet proof, angeamini mungu anamlinda asingetumia bullet proof.

Always going in cycles..
Kuamini kwamba Mungu anakulinda sio sawa na kuamini uwepo wa Mungu..

Haya sasa jibu swali
 
Always going in cycles..
Kuamini kwamba Mungu anakulinda sio sawa na kuamini uwepo wa Mungu..

Haya sasa jibu swali

Even the ancients recognized the cycle as perfection. When you see a cycle you know you are making progress, like inventing a wheel, realizing the earth is a form of a cycle etc.

Ukisema "kuamini kwamba mungu anakulinda sio sawa na kuamini uwepo wa mungu" unatoa mwanya wa kumaanisha kwamba mungu anaweza kukulinda bila kuwepo, mungu asipokuwepo hawezi kukulinda. Huwezi kusema "kuamini kwamba mlinzi anakulinda sio sawa na kuamini uwepo wa mlinzi". Huwezi kuamini mlinzi anakulinda kama huamini kuna mlinzi.

Ndiyo maana nikasema Papa anajua hakuna mungu ndiyo maana hataki kuchukua chances, kaweka bullet proof.

Mungu wa papa ana uwezo wote na upendo wote.

Kama ana uwezo wote, anaweza kumlinda papa, kama ana upendo wote anapenda kumlinda papa.

Kama ana uwezo na upendo wote, atamlinda papa.

Kama hamlindi papa kiasi cha papa kuhitaji bullet proof either hana uwezo wote, au hana upendo wote.

Papa anahitaji bullet proof, therefore mungu ambaye papa anajidai kumuamini (mwenye uwezo na upendo wote) hayupo.
 
Vipi mtu akikwambia haamini kwamba mungu yupo na hajui kama mungu yupo, na wala hajui kama mungu hayupo, na kwa mujibu wa mungu alivyoelezwa, hili jambo haliwezekani kujulikanika kwa sababu mungu alivyoelezewa yuko nje ya kujulikanika. Kwa hiyo, kwa sababu hataki kuamini, anataka kujua, haamini kwamba mungu yupo, in fact haamini chochote, yuko against kuamini. Anataka kujua.

Utasemaje ?
Huyo mtu

  • kwanza nitamwambia ajaribu kuweka LOGIC katika kujua na anapofanya baadhi reasoning zake. sababu kuna mambo hayawezi kuingizwa maabara.
  • Pili nitamwambia Asiangalie au kuwa na argument katika limited scope.

  • Tatu ajue kutoamini ni imani -ve ni kwamba anaamini but in a negative way.
 
Even the ancients recognized the cycle as perfection. When you see a cycle you know you are making progress, like inventing a wheel, realizing the earth is a form of a cycle etc.

Ukisema "kuamini kwamba mungu anakulinda sio sawa na kuamini uwepo wa mungu" unatoa mwanya wa kumaanisha kwamba mungu anaweza kukulinda bila kuwepo, mungu asipokuwepo hawezi kukulinda. Huwezi kusema "kuamini kwamba mlinzi anakulinda sio sawa na kuamini uwepo wa mlinzi". Huwezi kuamini mlinzi anakulinda kama huamini kuna mlinzi.

Assertions hizi mbili sio interchangiable. Kuepo kwa Mungu is a different and independent subject na ile ya kumlinda mja. Unachotaka kulazimisha wewe ni kwamba jukumu mojawapo la Mungu ni kumlinda pope, this is nonsense kwa maana kwamba binadamu sio immortal ndio maana hufa, huwezi kusema ati Mungu amlinde mja unconditionally ati tu kwa sababu yupo na anao huo uwezo..hakuna mantiki hapo..its the same kwamba mfano wa mlinzi hautrickle down, maana mlinzi yeye mwenyewe anahitaji ulinzi, na pia mlinzi anaweza akawepo lakini ikawa sio kwa minajili ya kunilinda.

Ndiyo maana nikasema Papa anajua hakuna mungu ndiyo maana hataki kuchukua chances, kaweka bullet proof.
Illogically derived..
Mungu wa papa ana uwezo wote na upendo wote.
Yes provided ana exists.
Kama ana uwezo wote, anaweza kumlinda papa, kama ana upendo wote anapenda kumlinda papa.
Anaweza lakini si lazima kama unavotaka kulazimisha...and again provided HE exists
Kama ana uwezo na upendo wote, atamlinda papa.
Not necessarily, see above..
Kama hamlindi papa kiasi cha papa kuhitaji bullet proof either hana uwezo wote, au hana upendo wote.
See above.
Papa anahitaji bullet proof, therefore mungu ambaye papa anajidai kumuamini (mwenye uwezo na upendo wote) hayupo.
Deduction made from ridiculous argumentation..see the above
 
Back
Top Bottom