Gari la Papa - Pope mobile, a distrust in God!

Tukumbuke MUISLAM kutoka Uturuki alimshoot Pope aliyepita,kidogo afe.

Maana suicide bombers wa KIISLAM wanamtarget kila siku,militant gays vilevile.

Leo hii tumesikia watu 21 wameuliwa huko IRAQ kwa jina la dini ya KIISLAM.

Huyu Papa huwezi kulinganisha na KAKOBE ,Lwakatare etc .Ni msomi mzuri wa theology,philosophy.

Hapo naona uko out of line mkuu. Kwa sasa tunadili na matatizo ya Pope kujifungia kwenye gari kwa uoga wa kufa...
 
Mkuu nisha msoma sana. Tena na bado naisoma, ila mimi siisomi kwa woga. Unajua haya mambo ya imani bila uchunguzi yana fuga ujinga.

Kwa mfano, pale askari walipo kuja kumkamata yesu na wafuasi wake wakakimbia, je kwanini usijiulize kwanini walikimbia? yaani wewe uko na mwana wa mungu, yet you run away when the "human" soldiers come to take the son of god! I would have thought that they should have been so confident of his power and not to fear anything. Mimi nisinge kimbia maana ningeamini nothing will happen ata wa kiniua, yesu atanifufua bila shaka.

Sasa kwasababu biblia inatuambia walikimbia inabidi tujiulize (bila woga) je Yesu alikuwa na uwezo wa miujiza hiyo? hau hizo ni stori za uzushi tuu ili kumfagilia Bwana yesu?

Also, kuendelea kuwepo kwa wayahudi hapa duniani inatuonyesha nini kuhusu mafanikio ya kazi ya Yesu? Kama kijana huyo aliifanya kazi yake vizuri, wouldn't you think that all Jews would have converted to Christianity? But no, they are still here and they don't accept Jesus as the messiah. Was the project to sending Jesus down to earth a well-thought plan if people are still unconvinced? You know, spending 3 years preaching and performing miracles, and yet people were unconvinced?? What does this say about god's planning? Is he realy the all-knowing, all-powerful??

Kama wayahudi wa wakati wa yesu walimuona yessu akifufua waafu na bado waka baki na uyahudi wao na kumkataa yesu kama nabii, je nikweli yesu alifufua waafu? Maana kama mimi ningeona mtu anafufuliwa lazima nami ninge msujudu mfufuaji?

Ninaweza kukupa mengi tuu ukitaka...niko tayari. Mimi nilianza kujiuliza hayo kuhusu the gospel since 1983!

Mkuu P-Scale, maswali yako ni mazuri sana. Ni maswali ya mtu anayetaka kufahamu ukweli wote. Lakini majibu yake yapo na ni rahisi kabisa.

Kwanza lazima uanze kutambua kuwa tumeumbwa na kupewa uwezo wa kuchagua kutii au kutotii...yaani Mungu ana heshimu utashi wetu. Yeye alichofanya ni kubainisha hatima ya kila tunalochagua.

Pili napenda kukuonya kabisa kuwa usijenge imani yako kwenye miujiza! Jenga imani yako kwenye ukweli wa neno (Biblia). Kwasababu shetani ana uwezo wa kufanya miujiza pia. Ndio maana Yesu kuna wakati alikataa kufanya muujiza..kwasababu alitaka watu wasome neno na kulielewa. Yesu anasema "asomaye na afahamu".. Miujiza ilifanyika tu ili kuimarisha imani ya watu (walioamin) kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu. Nafasi ya miujiza katika nyakati zetu imekuwa finyu zaidi ingawaje watu wengi wanadai kuwa na uwezo wa kufanya hiyo miujiza. Nadhani ni vyema watu hao wakichukuliwa kwa tahadhari maridhawa.

Kuhusu kukamatwa kwa Yesu na wanafunzi wake kukimbia... mimi jibu langu linabaki katika context ya maelezo yangu ya hapo juu. Lakini pia ninaongeza kwa kusema kuwa, Yesu alipokuja hapa duniani alijifanya binadamu kwa sababu kubwa ya kutoharibu huo uhuru wa watu kuchagua kutii ama kutotii. Kwa maana nyingine hakutaka kuwatisha kwa Uungu wake ili watii kama robot bila kufikiri. Lakini vilevile tuweze kuchangamana naye kama rafiki yetu na zaidi sana aweze kushiriki taabu yetu ya ubinadamu. Hivyo alipokamatwa alijenga mazingira hayo ya kibinadamu zaidi kuliko ya ki-Uungu. Na mara zote alipofanya miujiza hakutaka ku-suppress uhuru wa watu kuchagua, ndio maana mara nyingi aliwaambia walioshuhudia miujiza yake wasimwambie mtu.

Kuhusu Wayahudi pia ninaweza kusema kuwa: Wayahudi ni sample ya binadamu wote, mimi na wewe tukiwemo. Yaani wewe na myahudi hakuna tofauti. Hata kama ungeoneshwa miujiza yote waliyoona wayahudi ungeweza kumkataa Yesu na ukaendelea kuishi kama kawaida. Wayahudi walishuhudia miujiza kama vile kudondoka kwa mana na kware (kuku wa nyama walipokuwa jangwani), kukaushwa kwa bahari ya shamu ili waweze kupita, habari ya mapigo ya Misri, habari ya manabii na hatimae kuzaliwa kwa Yesu na mingine mingi.

Kuna hatari ya kubaki unashangalia, kujivunia miujiza badala ya kuwa na ufahamu wa dhana na maudhui ya mafundisho juu ya Mungu. Ndio maana leo Wayahudi na Waarabu (kimsingi Wayahudi ni Waarabu) wote wamemkataa Yesu kama Mwokozi wao. Ukiangalia hata sasa hivi ulimwengu wetu ni kama vile Yesu anazidi kukataliwa kadiri muda unavyoendelea. Tatizo lipo mu-kichwa vya watu hawataki kuelewa na kuamini na kutii waliyoagizwa na Mungu. Wanataka wafanye yawapendezayo wao wenyewe.

Ngoja nikomee hapa kwanza
 
no offense hiyo picha .. hicho kiota cha papa kinakumbusha huyu jamaa david blaine
david_blaineoprah.jpg

That is funny. And speaking of David Blaine, hebu icheki SouthPark season 5, episode 3 called The Super Best Friends, where David blaine is confroted by Jesus and his friends (Budha, Mohammed, Moses, and Krishna). Very funny!
 
Mkuu P-Scale, maswali yako ni mazuri sana. Ni maswali ya mtu anayetaka kufahamu ukweli wote. Lakini majibu yake yapo na ni rahisi kabisa.

Kwanza lazima uanze kutambua kuwa tumeumbwa na kupewa uwezo wa kuchagua kutii au kutotii...yaani Mungu ana heshimu utashi wetu. Yeye alichofanya ni kubainisha hatima ya kula uchaguzi wetu.

Pili napenda kukuonya kabisa kuwa usijenge imani yako kwenye miujiza! Jenga imani yako kwenye ukweli wa neno (Biblia). Kwasababu shetani ana uwezo wa kufanya miujiza pia. Ndio maana Yesu kuna wakati alikataa kufanya muujiza..kwasababu alitaka watu wasome neno na kulielewa. Yesu anasema "asomaye na afahamu".. Miujiza ilifanyika tu ili kuimarisha imani ya watu kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.

Ngoja nikomee hapa kwanza

Mkuu, mie dini nimeichambua huu mwaka wa 27. Nishafunguka macho. Hebu soma ezekiel 3:19.
Ila ningependa nikushukuru kwa utaratibu uliouonyesha kwenye post yako hapo juu.
 
Huyu jamaa nashindwa kumelewa na hizi primitive idealistic attachments. Sasa ulitaka aendeshe baiskeli mitaa yote hiyo? Kumbuka anazungka sehemu nyingi zenye watu tofauti na malengo tofauti, anahitaji gari kama hili. Sasa mwenzetu badae si utasema akiugua asiende kwa madaktari. Au mkubwa ulitaka apande nyumbu yale magari yalokuwa yakitengenezwa kule Morogoro jeshini? Au apande suzuki ndo utapata raha? Anyway, it's environmentak friendly!
 
Aaaa, sipendi hata kujibu chochote, juu ya hili. Najua ni matatizo tu ya vichwani mwa watu.
 
That is funny. And speaking of David Blaine, hebu icheki SouthPark season 5, episode 3 called The Super Best Friends, where David blaine is confroted by Jesus and his friends (Budha, Mohammed, Moses, and Krishna). Very funny!

Huku ndo kuhama topic. Haya rudi kwenye mada!
 
Mkuu, mie dini nimeichambua huu mwaka wa 27. Nishafunguka macho. Hebu soma ezekiel 3:19.
Ila ningependa nikushukuru kwa utaratibu uliouonyesha kwenye post yako hapo juu.
ISHU SI KUICHAMBUA DINI KWA MIAKA 100, NI KWAMBA jE UNAELEWA UNACHOCHAMBUA?, au unasoma kama kukremu hiyo mistari!

Kuna yule mwanafunzi aliyemuuliza Yesu kuwa nifanye nini nipate kuokoka?..na akaishia kusema kuwa ameshika amri za Mungu tangu utoto wake!, lakini Yesu akamwambia bado anapungukiwa na kitu!

Je huoni kuwa unathibitisha kutoijua kwako Bible?
Omba MUNGU akufungue usome kwa maana ya kuelewa.right?
 
Wengi hawaelewi kuwa Papa na kanisa lake ndiye sehemu kuu ya "BABILONI MKUBWA" au " THELUTHI MOJA" au " KAHABA" vilivyozungumzwa katika kitabu cha Ufunuo. maelezo zaidi?
 
Hapa kilichosemwa na Peter Tosh kinatumika. " everybody wants to go to heaven but nobody wants to die"

Even if he believe in heaven ( presumably), why should he die prematurely! ( even though with his age it might be argued otherwise)

God's job finished with creation, after that you are on your own. And I believe Pope is in a position to know this better than his followers.

Btw I think bullet proof car is a good marketing strategy.......it gives a picture of how important he is.
And he is at it even if he is in no real danger( .......maybe :)...)
 
Mkuu, mie dini nimeichambua huu mwaka wa 27. Nishafunguka macho. Hebu soma ezekiel 3:19.
Ila ningependa nikushukuru kwa utaratibu uliouonyesha kwenye post yako hapo juu.

P-Scale, nimeisoma hiyo sura ya Eze 3:19 Yet if thou warn the wicked, and he turn not from his wickedness, nor from his wicked way, he shall die in his iniquity; but thou hast delivered thy soul.

Hii ina husiana na majukumu yetu kila mmoja kumuonya mwenziye ili kumwokoa katika hatari iliyoko mbele yake. Hatupaswi kuacha kuonyana, lakini hatuwezi kuondoa uhuru wa watu kuchagua. Lazima tuheshimu uhuru huo pale tunapowaonya wenzetu (tafadhali rudia post #42 nimei-improve zaidi).

Lagda nipende kuzungumzia kidogo juu ya hoja yako ya kwanza kabisa. Ni kwamba Papa ni binadamu kama mimi na wewe yupo kwenye hatari ya kukutwa na mauti wakati wowote. Lakini zadi yeye ni kiongozi wa nchi ya Vatican hivyo kwa nyazifa kama hizo huyo binadamu lazima atalindwa kwa ulinzi wa kibinadamu. Ana maadui wengi wa kibinadamu wenye mioyo ya chuki, wivu, unaotawaliwa na shetani mwenyewe. Lakini pia anao ulinzi wa ki-Mungu kama ule tulio nao mimi na wewe, lakini ulinzi wa Mungu hauwi dictated na mtu, ila uko katika maamuzi ya Mungu mwenyewe. Mungu anaweza kuruhusu ufe kwa njia yoyote ile hata kama bado unapenda kuendelea kuishi. Hii ni kwasababu kifo ni neema itokayo kwa Mungu. Mungu anaweza kuruhusu kifo cha mtu kwa mazingira yoyote yale ili kmwokoa asipotee milele, kumpumzisha nataabu ya duniani au kukuondoa kwasababu ya uovu wako usiendelee kuueneza zaidi .. hiyo ndio neema.
 
That is funny. And speaking of David Blaine, hebu icheki SouthPark season 5, episode 3 called The Super Best Friends, where David blaine is confroted by Jesus and his friends (Budha, Mohammed, Moses, and Krishna). Very funny!

Alafu huyu jamaa ni kweli au ndio kiini macho.. nakumbuka alikaa kwenye barafu kipindi kirefu! .. ilikuwa kila nikiangalia sky news habari yake haikosi
 
Ukumbuke gari hilo ni Mercedes ,na ni ya Wajerumani na Pope ni Mjerumani.

Kampuni binafsi inaweza kumpa Kama zawadi,sio TAXPAYERS.
Bora uzungumzie Tanzania yako,ambapo ndege ya RAIS ni jasho la walipa kodi wa TZ wengi hawana umeme,wanalalia vitanda vya ngozi,hawana clean maji,akina mama wajawazito wanalala chini hospitalini etc.

It will be interesting to see cost ya NDEGE YA JK na gari la PAPA.

Jari mambo ya kwako kwanza kuliko kurukia jambo halikuhusu.
 
Hapo naona uko out of line mkuu. Kwa sasa tunadili na matatizo ya Pope kujifungia kwenye gari kwa uoga wa kufa...
Topic yako haina mantiki.head-on..hujajibu hapo za mdau alizouliza kuhusu mambo mengine ambayo pope anafanya kama kwenda hospitali, kupanda ndege, etc etc..
 
That is funny. And speaking of David Blaine, hebu icheki SouthPark season 5, episode 3 called The Super Best Friends, where David blaine is confroted by Jesus and his friends (Budha, Mohammed, Moses, and Krishna). Very funny!

Rafiki yangu P-Scale, wewe ni msomi mkubwa wa Biblia, kwanini unashindwa kutambua mambo haya kwa wepesi?! Mimi siifahamu hiyo habari ya David Blaine. Lakini hata bila kuifahamu haiwezi kunipotosha kabisa juu ya mbinu, mikakati ya shetani kuendelea kuwafanya watu wengi kuendelea kushangaa na kuamini (focusing on..) miujiza ya uongo na habari za kusisimua ili muda uishe bila kutafuta kujua habari ya Yesu na wokovu wao/wetu.

Yesu alisema tazama nimewaonya kabla..watakuja kwa jina langu,...manabii wa uongo na kudanganya watu Mtt 24:5,11. Yesu alisema kwa majonzi na huzuni, lakini sisi tutakao witness hiyo reality, tutashuhudia hali ya kutisha mno na itakuwa vigumu zaidi kwa wengi kuweza kupambanua ukweli ni upi na uongo ni upi. Wengi watapotea katika mazingira hayo magumu na dunia itakuwa kwenye giza kubwa la ukweli wa kumjua Mungu wa kweli. Bahati mbaya sana sasa tayari tupo kwenye kipindi hicho... ndio maana kuna wahubiri wengi wanazuka kila siku na kujiita nabii na mtume, nawengine wanajiita ni Yesu Mweusi, wengine wanahubiri utajirisho nk, in fact we are heading toward a difficult scene and we'll witness a lot of tantalising episodes..
 
P-Scale, nimeisoma hiyo sura ya Eze 3:19 Yet if thou warn the wicked, and he turn not from his wickedness, nor from his wicked way, he shall die in his iniquity; but thou hast delivered thy soul.

Hii ina husiana na majukumu yetu kila mmoja kumuonya mwenziye ili kumwokoa katika hatari iliyoko mbele yake. Hatupaswi kuacha kuonyana, lakini hatuwezi kuondoa uhuru wa watu kuchagua. Lazima tuheshimu uhuru huo pale tunapowaonya wenzetu (tafadhali rudia post #42 nimei-improve zaidi).

Lagda nipende kuzungumzia kidogo juu ya hoja yako ya kwanza kabisa. Ni kwamba Papa ni binadamu kama mimi na wewe yupo kwenye hatari ya kukutwa na mauti wakati wowote. Lakini zadi yeye ni kiongozi wa nchi ya Vatican hivyo kwa nyazifa kama hizo huyo binadamu lazima atalindwa kwa ulinzi wa kibinadamu. Ana maadui wengi wa kibinadamu wenye mioyo ya chuki, wivu, unaotawaliwa na shetani mwenyewe. Lakini pia anao ulinzi wa ki-Mungu kama ule tulio nao mimi na wewe, lakini ulinzi wa Mungu hauamurishwi na mtu. Kwasababu kifo ni neema na wengi haipendi neema hiyo. Mungu anaweza akaruhusu kifo cha mtu kwa mazingira yoyote yale kwa sababu zake za ki-neema.

Asante.
Ukimtazama huyo papa na matendo yake, jee unaona niyaki mungu mungu? yaani, anakupa changamoto kutaka kumjua mungu zaidi?
Papa anajificha kwenye gari la bullet proof.

Kama wewe ni mfuasi, jee unajisikiaje ikiwa yeye amejiwekea hadhi yakuwa yeye ndiye juu kuliko wengine (mavazi yake bei mbaya, viatu vya prada bei mbaya sana, Gucci sunglasses, kiti cha gold, kiti kikubwaa, anapigiwa magoti, n.k.). Jee hii inaonyesha unyenyekevu (being hamble) mbele ya mungu?

Kweli kuna umungu hapo kwa mtu ambaye mpaka abebelezwe ilikukubali kwamba maofisa wake bado wanaendelea KUWALAWITI WATOTO? Pia, what does it mean kwa wafuasi wa kikatoliki kufunga masikio na kuendelea kumsikiliza mtu ambaye ataki kuwafukuza mapadri wanao fanya jinaha hizo?

kama mungu yupo na nikweli aliteketeza Sodom and Gomorrah, kwanini Vatican inaendelee kusimama, kuweaficha walawiti watoto (malaika wa mungu!), na kupotoza walio na fikra nyepesi?
 
You see,unataka Papa auliwe na fanatics eti kwa sababu haogopi kufa?That is bad logic!

Ni kiongozi wa dini,bila shaka suicide bombers wa kiislamu wanamtaka kila siku.

FACT:yule aliyepita,Mpolish alitaka kuuliwa na Mturuki Mwislamu.
!
By the way death toll huko IRAQ ni watu 29,dini yako inafanya kweli!
 
Rafiki na ndugu yangu P-Scale, mimi nimekuelewa sasa. Kumbe unataka tujadiliane kuhusu dini ipi ni representative ya Mungu wa kweli muumba wa mbingu na nchi. Naomba tusielekee kwenye mtazamo huo. Agenda hiyo ni ngumu sana. Sijui wewe ni dini gani, lakini unaweza kushangaa jibu likawa baya kwa Papa na kwa dini yako pia! Ndio maana nikajikita katika kumtetea Yesu aliyekataliwa na Waarabu wa Kiyahudi na Kiishmael. Na sasa anakataliwa na ulimwengu mzima.

Ukijadili kuhusu dini uta-trigger chuki za waumini wa dini zao tu na hutaweza kuuza ukweli ukasikilizwa. Ukweli una nafasi ndogo sana sasa hivi hapa duniani. Ndio maana huko nyumbani CCM bado ina wapenzi wa kumwaga tu pamoja na ufisadi na udhaifu mkubwa ilioonesha katika uongozi. Ndio maana Bush hajashitakiwa kwa kumuua Sadamu kwa sababu za kizushi na kusababisha mauaji ya kutisha ya raia wasio na hatia huko Iraq. Hakuna nafasi ya ukweli na haki hapa duniani sasa hivi.

Kwasababu nimeielewa hoja yako imejikita katika kujadili dini ya Catholic zaidi kuliko ukweli basi nakuomba kwa upole wote uachane na agenda hii. Hutaweza kueleweka hata ukitumia ujasiri wa mwanajeshi vitani. Asante sana
 
Ukumbuke gari hilo ni Mercedes ,na ni ya Wajerumani na Pope ni Mjerumani.

Kampuni binafsi inaweza kumpa Kama zawadi,sio TAXPAYERS.
Bora uzungumzie Tanzania yako,ambapo ndege ya RAIS ni jasho la walipa kodi wa TZ wengi hawana umeme,wanalalia vitanda vya ngozi,hawana clean maji,akina mama wajawazito wanalala chini hospitalini etc.

It will be interesting to see cost ya NDEGE YA JK na gari la PAPA.

Jari mambo ya kwako kwanza kuliko kurukia jambo halikuhusu.

Mkuu umesahau kitumuhimu sana: SADAKA.
JK anafaidi Tax zetu,
papa anafaidi sadaka za waumini.
Hamna tofauti!

Fumbua macho utaona, wasikutishe - eti utatupwa motoni.
 
kw
You see,unataka Papa auliwe na fanatics eti kwa sababu haogopi kufa?That is bad logic!

Ni kiongozi wa dini,bila shaka suicide bombers wa kiislamu wanamtaka kila siku.

FACT:yule aliyepita,Mpolish alitaka kuuliwa na Mturuki Mwislamu.
!
By the way death toll huko IRAQ ni watu 29,dini yako inafanya kweli!

babu, huu mjadala sio kuhusu waislamu wanao jilipua. Hiyo issue japo nyeti, lakini bora uianzishie thread yake. Let's stay focus on the pope na kujificha ake kwenye gari la bullet proof, na huku kashika biblia!
 
Back
Top Bottom