Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

siku za mwizi ni 40. walifanya mbinu zote wakasahau kuondoa camera
Tayari FBI waliopo ubalozi wa marekani walifanya uchunguzi kwa Siri wakaja na jawabu kuwa Daud Bashite na wenzake ndiyo walikwenda Dodoma kumshambulia Tundu Lisu
 
Huyo Mbunge aache Tabia ya kuchoma gari mwenyewe kisha kutaka kuwatuma Polisiccm wawabambikie kesi chadema
 
Tayari FBI waliopo ubalozi wa marekani walifanya uchunguzi kwa Siri wakaja na jawabu kuwa Daud Bashite na wenzake ndiyo walikwenda Dodoma kumshambulia Tundu Lisu
😅😅😅ndio maana kajikalisha kimya kama hayupo . Aliyemtuma kashadanja
 
Back
Top Bottom