SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 46,310
- 60,578
Hapa tusichanganyane, hao ni CCM wenyewe ili waisingizie CDM, walianza kumwagiana tindikali, wakapigana mapanga, wakabakana, wakachukuliana wake zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Yule Fisadi Kikwete aliyepopolewa Mawe kule Mbeya ilikuwaje? Kweli sasa Watanzania wamechoka wanaonyesha kwa vitendo wakisema hawasikilizwi inaweza hii ikwa ni ujumbe kwa Magamba kuwa sasa mwisho wao unakaribia.
hongereni CDM kwa kazi nzuri...
Gari lina Kosa Gani? si wangepiga hilo tumbo?
hali tete uchaguzi mdogo igunga; magari ya ccm yapigwa mawe
mbuge wa mtera, livingstone lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe na watu waiojulikana wakati masfara wa magari ya kampeni ya ccm, kurushiwa mawe katika kijiji cha nkinga.
picha na victor makinda
haya yalitokea baada ya mbunge livingstone lusinde kuongea yafuatayo kwenye mkutano wa hadhara.
kampeni za uchaguzi mdogo katika jimbo la igunga, zimezidi kupamba moto baada ya mbunge wa mtera, livingstone lusinde (ccm), kujiapiza mbele ya wananchi kuwa atakunywa sumu iwapo chama hicho kitashindwa kwenye uchaguzi huo.
Akizungumza na wanakijiji wa ugaka kwenye kata ya nkinga wilayani hapa wakati akimwombea kura mgombea wa ccm, dk. Peter kafumu, lusinde alisema kutokana na mwenendo mzuri wa kampeni za ccm na jinsi wanavyowafikia wananchi, haoni sababu za kushindwa kwenye uchaguzi huo.
hapa nimewaona waandishi wa gazeti la mbowe (mwenyekiti wa taifa wa chadema); nataka mkaandike kwa namna ambavyo tumezunguka, ccm tukishindwa nakunywa sumu, alisema na kuongeza:
nataka tuwaambie, tutawapiga bao la mbali kabisa na huyo dk. Slaa sisi tunammudu ndiyo maana tukamwambia mzee kikwete, endelea kuongoza nchi atuache vijana tumkabe koo maana yule mzee ni mnafiki mkubwa, alisema lusinde.
kale kazee kagonjwa kale, ndiyo maana nimekuja kuwaambia inawezekana viongozi wa chadema wanavuta bangi, zile bangi zile, haiwezekani unatembea nchi nzima unahamasisha vurugu, unatangaza vita, alisema lusinde mjumbe wa halmashauri kuu (nec) ya ccm.
tanzania daima
Nasikitikia kitendo cha msafara wa CCM kwenye kampeni kurushiwa mawe kijijini Nkinga huko Igunga, maana ni dalili za kukosa uvumilivu, maana tunaishi watu wa itikadi tofauti na mwenye mvuto zaidi wa itikadi kukubalika na wengi avumilike. Lakini jeuri inapozidi kulazimisha kuungwa mkono taratibu zilizokubaliwa kisheria zitumike badala ya njia ya mkato kama ilivyotumika.
Na kwa hatua hii vyombo vya usalama vinabeba uzito wote kwa hoja ya kuelemea upande wa chama kimoja kukipa upendeleo kinyume cha wajibu wao. Hali hiyo inasabisha kutia hasira wananchi kwa vile hawana njia nyingine ya kutetea demokrasia yao inayobakwa ila kujichukulia sheria mkononi.
Hao ni ccm wenyewe, hata baba Riz1 alishasema kuwa ndani ya ccm hawapendani.
Watakuwa CUF tu!
CCM B ni akina Zito hao hao!Watakuwa CCM B