Gari la Mbunge wa Mtera lapigwa jiwe; aapa kuwapiga bao CHADEMA!

CHADEMA haijawahi kuunga mkono fujo kama hizi, na watu waliofanya uhalifu huo n wahalifu kama wahalifu wengine; ni kazi ya Polisi kuwasaka wahalifu na kuwawajibisha wao kama wao, na si kutumia kama mtaji kisiasa kwani hatujui watu hao wana kadi za vyama gani!

Wahusika wanafahamika, ni CDM. Wahuni hawawezi kuacha asili yao.
 
Chadema ni walafi sana wa madaraka,wanapenda vurugu and hawatumii busara! Yaani kila siku wao ni kupiga wenzao! Mungu pls tuepushe na hii laana ya chadema

Malipo yao ni 2 Oktoba 2011. Hakuna huruma, ni kuwaumbua kwenye sanduku la kura.
 
Walipompopoa mawe ****** kama ingekuwa ni wakati wa kampeni wangesema ni cdm, lakini ni kwa sababu ****** alikuwa amechelewa na utalii wake wa ndani hawakuwataja cdm.

magamba walifanikiwa sana na singo yao ya fujo walipoiimba wakati cuf iko juu. wanadhani singo hiyohiyo inaweza kubamba tena na cdm, wanasahau kuwa wakati na aina ya watu na uongozi wa cdm ni tofauti cuf. cdm kinaongozwa kisayansi zaidi ya cuf, watafute single nyingine, hizi za udini na fujo zimechuja sana na wala hazisikiliziki masikioni mwa watz
 
Labda ni jamaa aliyechukuliwa mke na kiongozi wa kampeni wa sisiem anapunguza hasira kwa kuwapopoa mawe. Vyama vyote tunafahamu kuwa ni vistaarabu isipokuwa ccm tu ndio wenye uthubutu wa kukodi wahuni kujeruhi na hata kuua raia wasio hatia wakati wa kampeni za kuwania ulaji.
.
 
IMG_1637.JPG


Hali Tete Uchaguzi Mdogo Igunga; Magari Ya CCM Yapigwa Mawe


Mbuge wa Mtera, Livingstone Lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe na watu waiojulikana wakati masfara wa magari ya kampeni ya CCM, kurushiwa mawe katika kijiji cha Nkinga.

Picha na Victor Makinda


simpendi huyu mbunge kabisa wenje alimjibu kiakili na lilivyombumbu halikuweza kugundua kuwa limetukanwa!! i quote "tulipata fulsa sawa ya kusoma mimi wenje niilitumia ila ww hukuitumia akimanisha wenje kasoma na lijamaa mbumbumbu hana hata degree
 
IMG_1637.JPG


Hali Tete Uchaguzi Mdogo Igunga; Magari Ya CCM Yapigwa Mawe


Mbuge wa Mtera, Livingstone Lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe na watu waiojulikana wakati masfara wa magari ya kampeni ya CCM, kurushiwa mawe katika kijiji cha Nkinga.
Picha na Victor Makinda




Haya yalitokea baada ya Mbunge Livingstone Lusinde kuongea yafuatayo kwenye mkutano wa hadhara.


KAMPENI za uchaguzi mdogo katika jimbo la Igunga, zimezidi kupamba moto baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kujiapiza mbele ya wananchi kuwa atakunywa sumu iwapo chama hicho kitashindwa kwenye uchaguzi huo.

Akizungumza na wanakijiji wa Ugaka kwenye kata ya Nkinga wilayani hapa wakati akimwombea kura mgombea wa CCM, Dk. Peter Kafumu, Lusinde alisema kutokana na mwenendo mzuri wa kampeni za CCM na jinsi wanavyowafikia wananchi, haoni sababu za kushindwa kwenye uchaguzi huo.

“Hapa nimewaona waandishi wa gazeti la Mbowe (Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA); nataka mkaandike kwa namna ambavyo tumezunguka, CCM tukishindwa nakunywa sumu,” alisema na kuongeza:

“Nataka tuwaambie, tutawapiga bao la mbali kabisa na huyo Dk. Slaa sisi tunammudu ndiyo maana tukamwambia Mzee Kikwete, endelea kuongoza nchi atuache vijana tumkabe koo maana yule mzee ni mnafiki mkubwa,” alisema Lusinde.

“Kale kazee kagonjwa kale, ndiyo maana nimekuja kuwaambia inawezekana viongozi wa CHADEMA wanavuta bangi, zile bangi zile, haiwezekani unatembea nchi nzima unahamasisha vurugu, unatangaza vita,” alisema Lusinde Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM.

Tanzania Daima


Haya ndiyo tunayozungumzia hapa mara nyingi tu ongelea itikadi na sera za chama badala ya kumvaa, kuntukana na kumdhalilisha mtu aliye na shughuli na itikadi zake. Nakubalina na Mbunge Wenje alivyosema bungeni Lusinde angeenda shule ingemsaidia kunoa bongo lake, lakini kwa matusi hayo ni mstari moja na Nape kwa kufikiri kutumia masaburi zaidi badala ya brain charger.
 
Licha ya uchaguzi mkuu uliopita kuwa na mizengwe. lakini huu wa Igunga sikutegemea hayua kutokea, lakini kiongozi unapochafua hali ya hewa jukwaani, si wote wanaokusikiliza ni wafuasi wako, si ajabu wenye moyo mchache wakahamasika kuikubali hasira kuishia msituni na kuchafua zaidi ya maneno ya jukwaani.

Viongozi jifunzeni logic, na kipima joto ni midahalo kabla ya uchaguzi kupima nani anaupeo vinginevyo tusingeshuhudia vituko hivi. CCM wenyewe wanajutia yanayojilia kama si uropokaji huu kusingekuwa na uchaguzi leo Igunga.
 
Huyu Lusinde domo lake ni kama kopo la chooni ye anaropoka tu kila linalotoka halipitii kwenye ubongo kabisa.Maneno yake ndo yamewauzi Wananchi haijalishi niwachama gani:Asiwape polisi wetu usumbufu kwa mambo aliyojitakia kuna haja gani ya uchaguzi kama matokeo yanajulikana eti"nitakunywa sumu ccm ikishindwa"
Wamemkomesha.Masuburi yake kabisa.
 
Jamani ni haki yao CDM kurusha mawe, si wametukaniwa mtume wao. Wao walishasema Slaa akiamrisha wao wanafanya bila hata kufikiri. Sasa hii ya kioo wala sio kitu cha ajabu. Kama wameweza kumwagia mtu tindikali na kutaka kubaka mama wa makamo. Hili za kioo ni jambo dogo sana.
 
Huyu Lusinde si ndio alisema Tanzania ina matatizo kwasababu imeweka alama ya nyoka kwenye noti za fedha zake? kwamba nyoka ni alama ya uchawi??

Hivi ukimsikia kijana anaongea upumbavu kama huo tena bungeni, unaweza kumsikiliza kweli??!!!
 
Jamani ni haki yao CDM kurusha mawe, si wametukaniwa mtume wao. Wao walishasema Slaa akiamrisha wao wanafanya bila hata kufikiri. Sasa hii ya kioo wala sio kitu cha ajabu. Kama wameweza kumwagia mtu tindikali na kutaka kubaka mama wa makamo. Hili za kioo ni jambo dogo sana.
<br />
<br />
Bado wewe kubakwa maana unaandika ka shoga vile
 
Huyu Lusinde ni mchemshaji asiekuwa na kifani Afrika Mashariki na Kati. Hata Shibuda ni kama anaiga tu!

- Huyu ndiye Mbunge aliyesema Bungeni kuwa Dodoma ina laana kwa sababu kuna gereza la Isanga linalotumika kunyongea wahukumiwa wa adhabu ya kifo. Alisema ni bora gereza lifungwe! Ameshindwa kuzingatia benefit za kiuchumi ambazo Dodoma inapata kutokana na hili gereza kubwa kuwa pale. Kama hawalitaki walilete kwetu bana.

- Huyu ndiye Mbunge aliyesema kuwa Wabunge wote wapimwe akili! Alishindwa kujitambua kuwa inawezekana yeye peke yake ndiyo atayegundulika kuwa mwenye akili haba!

- Leo hii huko Igunga anasema vitu vya ajabu kabisa.

Masikini watu wa Mtera.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom