Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
Very cheap politicking by CCM! Your days are really numbered!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani siku ya kupiga kura ccm waambulie kura za mawakala wao tu.Ili ccm ijifunze watu tumechoka na siasa zao za porojo.mara tatizo la umeme litaisha mara ooh bill za umeme lazima zipande wakati hata umeme wenyewe ni wa masaa.Nchi hii bwana watawala wake wanaboa kabisa..Mungu atatenda miujiza kwa wanaIgunga na kujibu maombi ya wengi jimbo liende upinzani.Wana Igunga wafukuzeni kabisa Ccm kwani wao ndio Chanzo cha matatizo yoote na umasikini.
Hakuna cha uchunguzi kwanza yeye huko ameenda kusaidia wizi wa kura za wanaigunga.akanunue kioo kingine full stopdah! yamekuwa haya tena!
natumaini vyombo vya dola vitafanya uchunguzi
wa kina na wa haki ili kuwafikisha wahusika kunakohusika.
Hali Tete Uchaguzi Mdogo Igunga; Magari Ya CCM Yapigwa Mawe
Mbuge wa Mtera, Livingstone Lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe na watu waiojulikana wakati masfara wa magari ya kampeni ya CCM, kurushiwa mawe katika kijiji cha Nkinga.
Picha na Victor Makinda
Tumeshawazoea wanafanya vituko wao and then wanapakazia wapinzani.ccm hawana sera zaidi ya kuunda vituko na kujifanya wao ni watu wanaojali watu wakati ni shetani mkubwa muuaji anayetafutata kila mbinu za hila kufanikisha kuwafanya watu waendelee kuwa maskini siku zote huku wao na watoto wao wanakula kodi za watanzaniaVituko kama hivi mnawapatia ccm sababu ya kufanyia propaganda zao.
hongereni CDM kwa kazi nzuri...

hongereni CDM kwa kazi nzuri...

Wanajamii Forums tuwe wapana wa kupambanua mambo na uelewa mkubwa zaidi. Wengi tunaoona wanashabikia vyama vya siasa si wanachama ila ni wananchi. Haiingii akilini mwangu kwamba chama cha siasa kikakaa kikao na kupanga mikakati ya kuweka watu mafichoni wawarushie mawe msafara wa chama kingine cha siasa.

Ieleweke ni kikundi fulani cha wahuni ambao wameshindwa kuvumilia rafu za CCM na matokeo hayo ni kutokana na kila kinachoongelewa mitaani na watu na wala si viongozi wa kisiasa. Hali kadhalika chama kimoja kimapobebwa na vyombo vya sheria na usalama wakati wananchi wanaona ndio watetezi wao inaamsha hisia kali kwani wanakosa njia mbadala isipokuwa kutoa adhabu wakiwa mafichoni.

Matatizo haya yatapotea tu iwapo haki za msingi za wananchi zinatekelezeka na vyombo vya sheria na usalama vikigeukia upande wa kutoa haki kwa wote, maana sote tu raia wa nchi hii wenye haki sawa za msingi, kwa nini wengine wapendelewe miaka yote?