Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Gari la Mbunge wa Tarime Mh Ester Matiko lilopata ajali mjn Simiyu, limeua mtumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Magu aliyekuwa akiendesha pikipiki barabarani.Aidha Mbunge huyo amepata madhara kwenyr nyonga zake.
Gari la mbunge laua, mwenyewe anusurika
Gari la mbunge laua, mwenyewe anusurika