FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,374 Jan 12, 2010 #2 Mbona kazuri kweli haka ka gari kanafaa kwa utalii hapa kijijini kwetu mbunifu kajitadi sana
Pape JF-Expert Member Dec 11, 2008 5,488 79 Jan 12, 2010 Thread starter #4 tutabananahmhm said: Safi sana mambo ya nenda kijani hayo Click to expand... bado hapo kwani kanahitaji fossil fuels...
tutabananahmhm said: Safi sana mambo ya nenda kijani hayo Click to expand... bado hapo kwani kanahitaji fossil fuels...
O Omumura JF-Expert Member Aug 20, 2009 476 18 Jan 12, 2010 #6 Naam,gari imetilia hiyo,mswano haswaa!
Pengo JF-Expert Member Oct 15, 2009 579 10 Jan 12, 2010 #7 Fanyeni taratibu hata hapa kwetu vipatikane kama hivyo kwani nahisi bei yake itakuwa poa
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,097 Jan 13, 2010 #9 Wale watu wa fire extinguishers wakikukamata nalo....duh...inabidi uwe na mtungi wa tani moja
Sumbalawinyo JF-Expert Member Sep 22, 2009 1,282 247 Jan 13, 2010 #10 Kanafaa sana kwa harusi yangu.. Lakini sijui ntampata wapi mwezi wa kuniunga mkono.
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,724 Jan 13, 2010 #11 Hapo hata mkipata nako ajali hakuna tetanasi
Pape JF-Expert Member Dec 11, 2008 5,488 79 Jan 13, 2010 Thread starter #12 PakaJimmy said: Hapo hata mkipata nako ajali hakuna tetanasi Click to expand... hapo ukipigwa pasi na vipanya hautoki....
PakaJimmy said: Hapo hata mkipata nako ajali hakuna tetanasi Click to expand... hapo ukipigwa pasi na vipanya hautoki....
Lole Gwakisa JF-Expert Member Nov 5, 2008 4,728 2,259 Jan 13, 2010 #13 Mwendo wa gari 10km/hr ukienda spidi zaidi ya hapo unaacha bodi, kimbunga kikija gari litafutie chumba cha kulala!!
Mwendo wa gari 10km/hr ukienda spidi zaidi ya hapo unaacha bodi, kimbunga kikija gari litafutie chumba cha kulala!!
William J. Malecela R I P Apr 27, 2006 26,588 10,375 Jan 14, 2010 #14 Lole Gwakisa said: Mwendo wa gari 10km/hr ukienda spidi zaidi ya hapo unaacha bodi, kimbunga kikija gari litafutie chumba cha kulala!! Click to expand... - Gari imeniacha hoi sana. Respect. FMEs!
Lole Gwakisa said: Mwendo wa gari 10km/hr ukienda spidi zaidi ya hapo unaacha bodi, kimbunga kikija gari litafutie chumba cha kulala!! Click to expand... - Gari imeniacha hoi sana. Respect. FMEs!