Tetesi: Gari la mafuta lateketea kwa moto muda huu hapa Mikese, Morogoro

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,014
2,000
Acha hizo, fatilia hizo ajali vizuri karibia madereva wote wanakufa hivyo vitu ulivyoandika hapo wanavifanyia wapi, Ahera?
Hizi ajali zichunguzwe vizuri ili ijulikane ni kwa nini zinatokea Morogoro tu ambako ni karibu na Dar.
Kuna uwezekano mkubwa wa mafuta yanayokuwepo kwenye magari haya kiasi kikubwa kinakuwa kimenyonywa njiani na ili uharibu ushahidi ni lazima uangushe gari chini.
Kama wawekezaji wa kutoka nje wanavyosema kuwa Watanzania walio wengi si waaminivu na wanafanya wizi na udokozi wa Kijinga kwa tamaa ya kupata pesa za kufanya matumizi ya ovyo.
1. Uzinzi
2. Mziki
3. Ulevi
4. Kujenga nyumba za kifahari ambazo hazina manufaa yoyote kiuchumi.
5. Kununua magari ya kifahari ambayo hayana tija kiuchumi
6. Kufanya sherehe kubwa ambazo hazina tija kiuchumi
7. Kusafiri ndani na nje na kutumia pesa nyingi bila sababu za kiuchumi.
8. Kujaribu kuingia kwenye Siasa ili kutafuta umaanufu bila kuwa na uzoefu katika Siasa.
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,615
2,000
Duh!!!
Morogoro hizo barabara zao zina tatizo gani? Kuna kitu hakipo sawa kuanzia labda kutokuwa salama kwenye mengi
Hayo maeneo kama sio mzoefu wa udereva huwa yanadanganya sana na barabara ina down fulani na mwinuko wa kushtukiza ndo kinachowaponza kupiga kofi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom