kuwa na subira, utaziona za walioungua!Picha pulizi!!!!
Watanzania sijui tutajifunza lini, gari limedondoka watu wanachota mafuta kama maji vile, kibaya zaidi vijana wanaiba vifaa vya gari!
Hao sasa ndo wanataka kuleta maafa kama yule John wa Idweli Mbeya.. Wakati wenzie wako busy kuchota mafuta yeye akaenda kujaribu kulitoa betri.. Akaleta maafa ambayo hayatasahaulika..!
Akijitokeza John mwingine itakuwa vizuri.