Gari la mafuta ladondoka Mlandizi, watu wengi wanachota mafuta

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
894
195
Watanzania sijui tutajifunza lini, gari limedondoka watu wanachota mafuta kama maji vile, kibaya zaidi vijana wanaiba vifaa vya gari!
 

MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,450
2,000
Thamani ya uhai inapokuwa sawa sawa na kifo binadamu hufanya chochote kiwe kibaya au kizuri hapo pasipolipuka mtaula pakilipuka itakukula kwenu

The hard way is the only way
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,487
2,000
Watanzania sijui tutajifunza lini, gari limedondoka watu wanachota mafuta kama maji vile, kibaya zaidi vijana wanaiba vifaa vya gari!
Hao sasa ndo wanataka kuleta maafa kama yule John wa Idweli Mbeya.. Wakati wenzie wako busy kuchota mafuta yeye akaenda kujaribu kulitoa betri.. Akaleta maafa ambayo hayatasahaulika..!
 

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,452
2,000
Kuna mtu alipost hapa sifa za nyumbu,sasa naamini akili za watz ni za nyumbu (wasaaulifu)
 

NDAGLA

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
2,486
1,500

Vijiji vilivyowahi kukumbwa na kadhia ya milipuko itokanayo na hizi ajali wameshajifunza.

Gari la mafuta likidondoka hukimbilia vijiji vya jirani hata kama ni tupu..

"Kwigwa kwa mbulu mpaka mininga mmatwi"
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,487
2,000
Akijitokeza John mwingine itakuwa vizuri.
Mkuu hawakomi hata kidogo.. Hali ngumu inawafanya watu kutoogopa hatari hata kidogo.. Au afe na njaa bila ya jitihada zozote au afe akiwa kwenye harakati za kutafuta chakula..
 

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,396
2,000
Yaani lori la mafuta laanguka watu wanakimbilia kuchota mafuta khaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,ni kama nawaona wtz wanavyojitutumua kuupiga ufukara teke na mangumi pamoja na vinjwa ila akili hata kidogo hawatumii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom