Gharama za gari aina ya Hummer

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,589
1598587031139.png

Wakuu habari,

kuna jamaa anafanya biashara ya kuagiza magari, ananiambia hummer h3 inauzwa kwa milioni 70 yaani hapo gharama zote mpaka ushuru na kila KITU,Hivi hizi ni habari sahihi kweli?

Haya magari si yanauzwa milioni 300?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hummer, gari zilizokuwa over rated, wasabii wa USA wakizipigia promo kwenye nyimbo zao zipate kuonekana ni icon. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, the shittiest SUV of all. Gari lenyewe lipo insecured, kila sehemu limeandikwa Hummer, front, side mirrors, side steps, nyuma, usukani, viti, kila kona Hummer. The look is terrible, the engine ni matatizo tu kwa mafuta, fuel consumption haiendani na matumuzi, nit efficient at all and its no longer in production kama sikosei, hio ni GM failure. Interior nothing is luxury as the price tag will make you believe. Kama unazo izo 80 million katafute mnyama talk if the world, RANGE ROVER sports tu, nakwambia hii ndio SUV kiboko yao (ukitoa Vogue)
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom