t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,336
- 14,645
Gasket head ina uhusiano ganj na A/C
Head gasket ni ile gasket iliyopo katikati ya cylinder head na block , gasket hii ina kazi ya ku pitisha na ku seal vitu vitatu muhimuGasket imefanyaje? na implication yake ni nini??
1 coolant
2 compression
3 Oil
Inapotokea gasket hii imeungua (mara nyingi kwa kukosa coolant) Basi compression huingia katika mfumo wa coolant na ku pressurise mfumo huo ,hii husababisha coolant kupungua kutokana na pressure hiyo
Ac inasabaishaje !
Mfumo mzima wa Ac nao huzalisha joto Kali ambalo huwa decipated mbele ya coolant radiator kupitia condenser , unapowasha Ac , you are asking for a lot of heat , hapo Kama ulikuwa na head gasket issue ndo huji manifest
Kiufupi tu head gasket inapoungua husababisha udhaifu kwenye mfumo wa kupooza ,