Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Gari ni matunzo mkuu....hao wanaosema shipa au jini hawajui magari....

Watu wanasukuma v8 za petrol, sembuse brevis...

Ni watu tu wameamua kuzichafua hizi gari...
Me si mpenzi wa magari ya Toyota lakini hili gari linaonewa sana...
Hahah hayo mavitu yenye Cc kubwa kubwa(majini mafuta) ndio nayapendaga sasa.
 
Gari ni matunzo mkuu....hao wanaosema shipa au jini hawajui magari....

Watu wanasukuma v8 za petrol, sembuse brevis...

Ni watu tu wameamua kuzichafua hizi gari...
Me si mpenzi wa magari ya Toyota lakini hili gari linaonewa sana...
Mwaka Jana December nilifanya service kubwa ili nifanye Safar ndefu ya kwenda Mwanza nakumbuka fundi alinishauri kitu cha msingi Sana kuwa nijitahidi kila spare parts nitakayofunga iwe original ili angalau nitulie Kwa muda mrefu bila kubadilisha .

Ila Kwa kuwa wabongo tunapenda rahisi nilifunga spare nyingi za bei rahisi na hicho kitu kinanigharimu sasa kwasabb zile spare parts zote zimekufa mara baada ya kurudi DAR.

Hii kasumba ya kuogopa Magari tofauti na Toyota au kuogopa Aina ya Magari Fulani ni maneno ya Tu vijiwen, uoga huu unatufanya kuishia Kwenye Toyota tu
 
Why hao watu waiponde hiyo tu? Shida ni ipi sasa
Watanzania wengi tuna kipato cha kawaida. Brevis, xtrail si magari yetu maana yanahitaji utunzaji mzuri na ni gharama.

Nunua rav 4 old model, gx 100, 110 hayo hata ukikosea ukaweka oil chafu hakuna tatzo litaenda tu. Esp rav 4 old Halina masensor mengi. Binafsi silipendi maana lipo kama upo kwenye sufuria, sio comfortable kabisa ila nakushauri nunua hilo hata mjukuu utamrithisha.

Mm ningenunua xtrail au brevis nipambane maana nataka nafasi na utulivu ndani ya gari. Gharama nitapambana na gari ni mkono wangu tu.
 
Kumbe Brevis ni nzuri, ila tatizo letu ni umaskini tu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom