Gari inaweza kwenda umbali gani baada ya taa ya mafuta kuwaka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari inaweza kwenda umbali gani baada ya taa ya mafuta kuwaka?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Aug 5, 2011.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Gari yangu ni aina ya cresta....cha kushangaza haijawahi kuzimika licha ya kuwa nimeendesha baada ya taa ya mafuta kuwaka naweza kutoka posta mpaka mwenge na kurudi posta na bado gari haizimiki, je ni kwa nini? Hivi hii gari ina tanki kubwa kiasi gani?maana sijawahi kuweka full tank naombeni msaada wa mawazo.....ni kweli gari ikiwa speed kuanzia 80 hata uwashe ac haili mafuta?​
   
 2. t

  tshaka Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Gari lako taa inapo waka ujue kuna mafuta kwenye tank la akiba lenye lita either 10,15,18 or 20, but ni hatari kuyamaliza yote huwa na impurities mwishoni so yaweza leta itilafu kwa injini baadae sana.
   
 3. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Hakuna tank la akiba bali ni tank hilo hilo ila mafuta yanaposhuka mpaka level fulani kabla ya kufikia base ya tank mshale kuonesha empty na taa inawaka. Sasa kama gari yako in average inaenda km 9 kwa lita basi ujue una kilometa 90 kwani mara nyingi ubaki kama lita 10 tu na si zaid ya hapo. Sasa wewe hujawahi kuweka full tank kwa nini?

  Pia kama ni mtu wa lita tano tano basi ujue unaua pump kama pump ya mafuta ya gari lako iko ndani ya tank kwani kazi ya mafuta pia ni kuipoza pump. Suala la impurities nafikiri fuel filter takes care of that!!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  AKina mama wakiona taa nyekundu wao hawana mzaha ni kuingia sheli na kuweka full tank hahahahah
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Ndio maana wanaume tunapenda kutembea na vigeleni.
   
 6. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  So wanaenda shell sema kituo caha mafua sheli ni kampuni ya mafuta kama BP,CAMEL alafu na huyo mwingne anama wanawake wanakimbia kuweka mafuta full tank wao wanapewa sa mwanaume anaangaika alone na majukumu mengne kibao
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  usijali, pump ikifa utanunu nyingine for only 25,000/=
   
 8. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Sidhan kama uko sahihi...pump za magari zinatofautina bei kuendana na aina ya gari. yako ni aina gani?
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyo hana gari, ni muuza pump!
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Normally taa ikianza waka huwa ni lita kumi kwa gari nyingi
  Ukiiacha ikombe utaua pump na itakucost
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi niliwahi kuwa na Cresta ikiwaka taa unaweza kwenda kilimeta 90-100,kwa mwendo wa safari ukiwa Ruvu darajani unafika Dar bila matatizo.Watu wengi hawazifahamu gari hizi za Cresta wamezowea Mark 11 na Chasher lakini ni imara na hazisumbui.Nakushauri uache tabia hii ya kucheza na taa,sio pump tu bali utaua hata injini uchafu unaweza kufika huko kama filter imejaa uchafu.
   
Loading...