Gari inavuma sana, shida inaweza ikawa nini?

Status
Not open for further replies.

Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,953
2,431
Wakuu msaada,

Kuna toyota probox inavuma sana utafikiri unaendesha tandam, yaani ikichanganya kuanzia 80 kuendelea kelele nyingi sana. Nini inaweza ikawa shida?

MREJESHO
Mrejesho: Shukrani kwa wadau wa JF garage, nimebadilisha bearing leo gari imekua kimya sana kama sipo barabarani vile. Japo bei yake imesimama balaa.
 
Mrejesho: Shukrani kwa wadau wa JF garage, nimebadilisha bearing leo gari imekua kimya sana kama sipo barabarani vile. Japo bei yake imesimama balaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom