Gari inauzwa !!!!!

JAMIETZN

Member
Apr 25, 2009
72
1
Toyota Caldina Wagon G, 2001 year, back metallic ,127,470 km, Petrol, 1998 cc Inauzwa kwa bei poa sana.

Gari ndio imeingia Tanzania na kulipiwa ushuru. Gari ni safi ndani na nje, Nzuri na inafaa sana kwa shughuli za kila siku. haina tatizo wala hitirafu yoyote, ina matumizi mazuri ya petrol, Inaweza kutumika kwa shughuli za kifamilia / outing au za kibiashara kwa wale wenye mizunguko ya haraka haraka ndani na nje ya Tanzania pia.
Bei ni milion 7.5
Serious buyer tuna mtegemea. no jokes msg please.!
Tu pm kwa maelezo zaidi.

Attachments

  • 04.jpg
    04.jpg
    62.2 KB · Views: 220
  • 05.jpg
    05.jpg
    61.5 KB · Views: 167
  • 03.jpg
    03.jpg
    62.9 KB · Views: 154
Toyota Caldina Wagon G, 2001 year, back metallic ,127,470 km, Petrol, 1998 cc Inauzwa kwa bei poa sana.

Gari ndio imeingia Tanzania na kulipiwa ushuru. Gari ni safi ndani na nje, Nzuri na inafaa sana kwa shughuli za kila siku. haina tatizo wala hitirafu yoyote, ina matumizi mazuri ya petrol, Inaweza kutumika kwa shughuli za kifamilia / outing au za kibiashara kwa wale wenye mizunguko ya haraka haraka ndani na nje ya Tanzania pia.
Bei ni milion 7.5
Serious buyer tuna mtegemea. no jokes msg please.!
Tu pm kwa maelezo zaidi.

mzee tuwa PM wewe na nani mbona ID ni yako tu
 
Hizo picha mbona zina watermark ya tradecarview? Swali langu lina lengo la kujua kama hizo ni recent photos za hilo gari au umechukua picha za kwenye website?

picture.php
 
Mkuu Gari imeingia ijumaa na uwezo wa Digital Camera sina kwahiyo nataka tu kukuhakikishia kama nilivyo andika Gari ndio imeingia Tanzania na kulipiwa ushuru. maana yake imetoka Bandarini na kuhifadhiwa nyumbani. Labda tofauti ambayo ungetaka kuiona ni vumbi la bongo kwenye mataili na back ground ya kibongo. Vinginevyo picha zinaonyesha uhalisi wa gari ulivyo.
 
Mkuu bei uliyoanzia ni kubwa mno katika hali zetu na huku kuanguka kwa uchumi wa duniani, je wapunguza mpk ngapi?
 
Mkuu kuanguka kwa uchumi wa dunia si kwenye mifuko ya Watanzania. 2001 Toyota Caldina kwa bei hiyo bado walalamika..Nitofauti na Vitz. Kwa muda huo ulio tumia kuandika hii msg wenzio wamesha PM kwa maelezo zaidi..!
 
hao wanatosha wakiitajika zaidi usichoke kurudia tangazo mkuu tuko nyuma yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom