Gari inauzwa

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Inahitaji matengenezo madogo na imetembea 2407 km tu
Inafaa kusambazia mikate/mayai nk

Serious buyer only PM me.
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    601.2 KB · Views: 128
  • 1 (1).jpg
    1 (1).jpg
    703.4 KB · Views: 103
Yaani wewe ni verified user lakini Tangazo lako utafikiri ni sisi tunaoficha identities zetu. Ptuuuuu! Hem jipange.
 
T281 ARP Ndio imetembea 2407KM?

Unashangaa kitu gani sasa? gari linaweza kuwa CDW na likawa limetembea 200,000 km hiyo gari tajwa imeletwa kutoka france ilikuwa imetembea only 10 km! kama upo interested niPM nikuelekeze uje uiangalie sio unabisha kitu ambacho hujakiona.
 
Mkuu Naomba unielewesha

Gari zenye Number T....ARP registration yake ilikuwa 2009 which mean 38months 60KM per Month kwa mizunguko ya DAr?

Mimi natembea 800km average per months, mkuu kweli inakuja kutembea km60 kwa mwezi?

Vipi iliingia nchini mwaka gani labda tuanzia hapo
 
Inawezekana tangu ilipoingia nchini ilikuwa juu ya mawe, haijatembea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom