Gari inauzwa wadau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari inauzwa wadau

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dawson, Jul 15, 2009.

 1. D

  Dawson Member

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gari inauzwa Mistubishi Pajero Intercooler Turbo, 3 Doors, Metalic Green,2500cc Diesel, Manual, Bullbar, Rear Spoiler, New Tyres nzima inatembea ni mpya bei milioni 7.5m. haijaenda bodi hata mara moja,

  WAHI HARAKA
  kwa mawasiliano piga 0754 360149/ 0786 722 682
   

  Attached Files:

 2. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145


  Pajero mpya haiwezikuuzwa kwa 7.5m.
  Au neno mpya halina maana siku hizi? Hata huko japan wenyewe wanaandika magari ya aina hii kuwa ni "used" kwamba yashatumika, sio mpya.
  Wewe waambie watu kuwa gari imetumika na imetembea km kadhaa, ni ya mwaka fulani, ...
   
 3. Robweme

  Robweme Senior Member

  #3
  Jul 15, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Twambie matatizo iliyonayo hadi ikauzwa bure namna hiyo.
   
 4. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Nafikiri haina matatizo ila anataka akanunue unga, just thinking!
   
 5. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,809
  Likes Received: 2,513
  Trophy Points: 280
  Yaani nimecheka mpaka nataka kufaaaaaa.yaani unga cocaine?makubwaaaaa
   
 6. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Usicheke ndugu yangu, Nina mtoto wa Ndugu yangu aliuza RAV 4 used kwa million 4 tu kwani alikuwa na kiu ya kufa, ndugu tuliposikia tulitaka turudishe pesa, wee jamaaa akawa mbogo na documents zake hao tukaishia tukipangusa ******
   
 7. D

  Dawson Member

  #7
  Jul 15, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wajumbe sorry kwa maelezo ya mwanzo gari ni used (imetumika) na inatembea ya mwaka 1995 km 150,000
   
 8. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,809
  Likes Received: 2,513
  Trophy Points: 280
  kwa nini wataka kuiuza?
   
 9. D

  Dawson Member

  #9
  Jul 15, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naiuza nimenunua nyingine Land Rover Td5
   
 10. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,809
  Likes Received: 2,513
  Trophy Points: 280
  Ok thanks
   
 11. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna watu humu-mmmmmmmh!!!!!!!! wacha niseme nikaonekana binadamu.:confused:
   
Loading...