Gari inakunywa mafuta balaa

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,335
2,000
Ni super custom, engine 1kz-te inakula mafuta kama haina akili nzuri. Msaada tafadhali nini kinachangia hii kitu.
 
The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
736
1,000
Funguka zaidi chief,eleza mwanzo ilikuwa inatembea kilometa ngapi kwa lita moja na sasa imekuwaje?,Je tatizo limekuja ghafla au imeanza mabadiliko taratibu taratibu hadi sasa umeona hali si shwari tena,Service ya mwisho uliyofanya ulibadilisha vitu gani?,Maana kuna mengi ambayo yanachangia ulaji wa mafuta wa gari kubadilika,kwa uchache ni mambo kama
1.Uendeshaji mbovu .
2.Plugs mbovu
3.Air filter chakavu
4.Nozzle chakavu
5.Matairi chakavu
6.Chaguzi mbaya ya oili unayotumia
7.Ubora hafifu wa mafuta unayotumia n.k
 
uendeshaji ni mzuri mno nikiwa naendesha mimi na hiyo ndo nafuu yangu balaa aendeshe mwengine sasa...!!
air filter iko vizuri
matairi ni mapya
hapo kwenye oil na dizeli sina uhakika ila kituo kilekile inapokunywa gari nyingine ambayo yenyewe haina tatizo hili.
ilikuwa inakunywa mafuta ya elfu 60 sasa inakunywa mafuta ya 75 elfu kwa kazi kazi ileile, umbali uleule
 
Hapo kwenye oili mara nyingi inaangaliwa ile thickness ya oili,(viscosity grade) na quality ya Oili kama utakuwa umetumia oili ambayo haikushauriwa kwa Engine unayotumia au ambayo haiko kwenye ubora husababisha zile moving parts kwenye engine zisiweze kuzunguka kwa uhuru hivyo uongeza matumizi ya Nishati (fuel demands).
Swala mafuta mara nyingi shida utokea kama unanunua mafuta kienyeji ambalo kwa kesi yako inaonyesha haiko hivyo,
Unaweza kuendelea kutroubleshoot hilo tatizo kwa kubadilisha spark plugs (Tafuta Genuine Plugs kwa Engine yako),pia check kama nozzle rubber kama zinavujisha au zimechakaa ubadilishe hizo rubber.
 
Wanu

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
352
250

Boss mi gari yangu inashindwa kubadili gear ikiwa inapanda mlima na inakuwa inatetemeka some time ila plug nimebadili air filter nimebadili na oil Na hydraulic nabadilisha kwa mda mwafaka na tire ni Mpya kabisa. Tatizo laweza kuwa ni nn?
 
nipe ufafanuz mkuu hii nimepiga juu ya engine pa kuwekea oil
 
The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
736
1,000
Boss mi gari yangu inashindwa kubadili gear ikiwa inapanda mlima na inakuwa inatetemeka some time ila plug nimebadili air filter nimebadili na oil Na hydraulic nabadilisha kwa mda mwafaka na tire ni Mpya kabisa. Tatizo laweza kuwa ni nn?
Dah pole bosi wangu mimi sio fundi,nimemjibu mkuu Sexer based on experience,lakini naamini uko sehemu sahihi wajuvi wa mambo haya watakuja kutoa mchango wao.Labda ungesema pia ni gari aina gani ili wataalamu waonapo wajue waanzie wapi.
 
kiumbe kipya

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
2,836
2,000
Funguka zaidi chief,eleza mwanzo ilikuwa inatembea kilometa ngapi kwa lita moja na sasa imekuwaje?,Je tatizo limekuja ghafla au imeanza mabadiliko taratibu taratibu hadi sasa umeona hali si shwari tena,Service ya mwisho uliyofanya ulibadilisha vitu gani?,Maana kuna mengi ambayo yanachangia ulaji wa mafuta wa gari kubadilika,kwa uchache ni mambo kama
1.Uendeshaji mbovu .
2.Plugs mbovu
3.Air filter chakavu
4.Nozzle chakavu
5.Matairi chakavu
6.Chaguzi mbaya ya oili unayotumia
7.Ubora hafifu wa mafuta unayotumia n.k
matairi chakavu mkuu inahusika na kula wese?
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,137
2,000
ni super custom, engine 1kz-te inakula mafuta kama haina akili nzuri. msaada tafadhali nini kinachangia hii kitu
TENA ITAKUWA NA TURBO, NDIO KAWAIDA YAKE .... HIYO HAINA NAMNA KAKA, ILA KAMA HUPENDI TWAWEZA ONGEA ... HAIFAI KUWA YAKUTEMBELEA, ITAKUFILISI!
 
Konsciouz

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,823
2,000
uendeshaji ni mzuri mno nikiwa naendesha mimi na hiyo ndo nafuu yangu balaa aendeshe mwengine sasa...!!
air filter iko vizuri
matairi ni mapya
hapo kwenye oil na dizeli sina uhakika ila kituo kilekile inapokunywa gari nyingine ambayo yenyewe haina tatizo hili.
ilikuwa inakunywa mafuta ya elfu 60 sasa inakunywa mafuta ya 75 elfu kwa kazi kazi ileile, umbali uleule
Air filter unabadili baada ya service ngapi!?!? Exhausting system yako haina leakage yeyote?!?! Pump imewahi kukusumbua!?!?
 
The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
736
1,000
matairi chakavu mkuu inahusika na kula wese?
Ndio mkuu,matairi yakiwa chakavu au yakiwa hayana upepo katika kiwango sahihi au yakiwa hayako katika correct alignment usababisha ulaji wa mafuta.Matairi yakiwa chakavu yanapoteza ile griping capability au traction on road hali hii usababisha matairi kuzunguka kwa haraka ili kusogea (moving) jambo hili uongeza ulaji wa mafuta isivyo kawaida.
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,335
2,000
Air filter unabadili baada ya service ngapi!?!? Exhausting system yako haina leakage yeyote?!?! Pump imewahi kukusumbua!?!?
kuna fundi kanambia pump lakin simuamini make kuwasha ni mara moja tu na asubuhi sichomi choki ni kuwasha na kuondoka, mambo yote shwari ila kwenye mafuta tu sasa pump inahusikaje hapo?! air filter iko safi kabisa.
 
Konsciouz

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,823
2,000
kuna fundi kanambia pump lakin simuamini make kuwasha ni mara moja tu na asubuhi sichomi choki ni kuwasha na kuondoka, mambo yote shwari ila kwenye mafuta tu sasa pump inahusikaje hapo?! air filter iko safi kabisa.
Pump ndio itupayo mafuta kama imepata hitilafu hutupa kuliko kiwango inacho stahili. Hapo ndipo ulaji unapozidi.
 
Wanu

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
352
250
Dah pole bosi wangu mimi sio fundi,nimemjibu mkuu Sexer based on experience,lakini naamini uko sehemu sahihi wajuvi wa mambo haya watakuja kutoa mchango wao.Labda ungesema pia ni gari aina gani ili wataalamu waonapo wajue waanzie wapi.
Mkuu gari yangu ni toyota allex
 
kilamuruzi

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
930
1,000
Boss mi gari yangu inashindwa kubadili gear ikiwa inapanda mlima na inakuwa inatetemeka some time ila plug nimebadili air filter nimebadili na oil Na hydraulic nabadilisha kwa mda mwafaka na tire ni Mpya kabisa. Tatizo laweza kuwa ni nn?
Ni kabreta?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom