Gari inakodishwa

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
13,628
13,050
Nakodisha gari yangu binafsi shilingi elfu harobaini kwa siku nzima, mafuta juu yako. Maelewano yapo
Gari lenyewe ni : Make - toyota
model -caldina new model
iko katika hali nzuri sana.
Mawasiliano: +255713968649 au ni pm
 
Nakodisha gari yangu binafsi shilingi elfu harobaini kwa siku nzima, mafuta juu yako. Maelewano yapo
Gari lenyewe ni : Make - toyota
model -caldina new model
iko katika hali nzuri sana.
Mawasiliano: +255713968649 au ni pm

Poa, ungeweka na picha. Hapo kwenye red ni AROBAINI!
 
Ok mkuu, ntaweka picha pia asante kwa ushauri,
 
Ngoja waje wainunu gar kwa hzo elfu HAROBAIN Zako kama ulizozitaja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom