Gari inahitajika.

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
331
99
Habari.
Gari ndogo aina yeyote inahitajika kwa ajili ya kukodishwa, yeyote aliyetayari weka mawasiliano tuwasiliane. Unatakiwa uwe Arusha. Mengine tutaongea zaidi.
 
Back
Top Bottom