Gari inahitajika Toyota RAV 4 kwa Tsh 8m. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari inahitajika Toyota RAV 4 kwa Tsh 8m.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jaluo_Nyeupe, Apr 9, 2012.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wadau nahitaji Toyota Rav 4 ya milango mitano iliyo kwenye hali nzuri kuanzia bodi mpaka injini na vifaa vyake vyote viwe vinafanya kazi. Bajeti yangu ni shilingi za kitanzania milioni 8. Kwa mwenye kuuza gari hilo ani-PM au tuwasiliane kwa namba hizi 0788 446622
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  ubahili sio kitu kizuri ndugu
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  sijakuelewa mkuu.
   
 4. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kwa bajeti hiyo bora utafuate Starlet Mupya
   
 5. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  utafute sio utafuate samahani Jario white
   
 6. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  name calling.
   
 7. S

  SUWI JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umejuaje ni ubahili ndugu!!! Inawezekana ndo hela aliyokuwa nayo... au kama ana nyingine zina kazi nyingine...

  Niliona wanatangaza juzi kwenye tv fulani kuna rav4 ya blue inauzwa TZS mil 8.. walisema wauzaji wanapatika maeneo ya karibia na mwenge mkabala ba baraza la mitihani la taifa...

  Ina maana itakuwa katika hali mbaya ndo maana bei che??
   
 8. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Haipo kwenye hali mbaya ila imetumika muda mrefu, ni gari ilikuwa inatumika na kampuni kwa hy wanaiuza, ina takriban miaka 6 na zaidi toka iingie TZ na imetumika hapa TZ.
   
 9. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  hizi pesa zote unasema ni ubahili, duh haya bana
   
 10. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mwambie ndugu yangu, wakati mwenzake nimejipinda hapo mpaka mwisho.
   
 11. M

  Mtei Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kunajamaa yangu ana Harrier kwa dau hilo, kamaupo interested nikuunganishe
   
 12. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  ya cc ngapi mkuu? 3000 au 2200? Kama ya 2200cc niunganishie.
   
 13. M

  Mtei Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni cc 3000
   
 14. M

  MULANGILA Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo RAV 4 unayohitaji wewe ukiipata kwa bei ya chini ni Tsh 14,000,000/-. Ipo design ya unayohitaji inauzwa kwa Mil 9 lakini ilikuwa kwenye toleo la TZK kabla serikali haijabadirisha namba za magari. Ip kwenye hari nzuri kiasi. Kama upo interested naomba unijuze.
   
 15. K

  Kabachubya Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kaka mimi nina RAV 4 ongeza 4m iwe 12m nikuuzie, nitaweka picha zake jioni leo.
   
Loading...