Gari inahitajika Toyota RAV 4 kwa Tsh 8m. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari inahitajika Toyota RAV 4 kwa Tsh 8m.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jaluo_Nyeupe, Apr 9, 2012.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Wadau inahitajika Toyota rav 4 milango mitano iliyo kwenye hali nzuri na vifaa vyake vyote viwe vinafanya kazi. Bajeti ni shilingi milioni 8. Kama unayo ni-PM au tuwasiliane kwa namba hizi hapa 0788 446622
   
 2. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,976
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Weka more specifications kama mileage, isiyozidi mwaka gani(au hata ya 1989 we poa tu?), fulltime 4wd au la!. Halafu bei si inapanda kidogo?
   
 3. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Weka specs mkuu
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Nenda Bamaga opposite na Baraza la Mitihani ulizia ofisi ya SIBUKA TV, wanayo kama hiyo na wanaanzia hiyo bei
   
 5. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  year - from 1998 ila hata kama ni chini ya hapo bora liwe kwenye condition nzuri.
  Steering - RHS
  Transmission - Auto/Manual
  Mileage - ikiwa chini ya 100K km itakuwa poa zaidi.
  Fuel - Petrol
  Displacement - 2000cc
  Door - 5 door
  Drive - 4WD
   
 6. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  poa mkuu, nitawacheki.
   
 7. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  tayari nimeziweka hapo juu.
   
 8. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  mkuu unaweza kuwa na namba za hao jamaa manake nimeulizia sijawapata.
   
Loading...