Gari inahitajika haraka

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,895
15,638
wakuu nahitaji kausafiri chapchap hapo dar bajeti isizidi 4mil,mwenye biashara nidondoshee pm plz.
 
Mkuu bajeti yako iko chini sana unless unataka gari bomu!! Ungekuwa na Sh. 7 mil ningekupa gari ambayo iko bomba sana!!
 
wakuu nahitaji kausafiri chapchap hapo dar bajeti isizidi 4mil,mwenye biashara nidondoshee pm plz.

Mkuu unataka gari au bodi ya gari? unataka kununua usafiri au matatizo yaliyomshinda mwingine?......4mil? una pesa ya kutosha ya matengenezo ya kila dakika baada ya hapo? au unataka pikipiki mpya?
 
ok we ulikua unadhani ngapi itatosha usafiri cheap
 
Mkuu kuanzia 6.5mil unapata kitu used from Japan, the cheapest, lakini ni more realiable. Kama ni gari ya kwanza ni vema usichukue used in Tz, huwezi jua historia ya gari, haya ya Japan yanafanyiwa Inspection kabla ya kusafirishwa. Ya Dubai kidogo ni risk, unaweza nunua matatizo ingawa ni cheap.

Jitahidi mkuu.
 
ok ngoja nipigepige mfuko kidogo.
 
4M unanunua matatizo ndugu agizia Japan Suzuki Kei mpaka Bongo Year 2002 dola 1800 ushuru 1M jumla 4M
 
how long inachukua kufika bongo,mwenyewe ana haraka mkuu nimemshauri hivyo anasema atasumbuka bandarini.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom