GARI IMEINGIA MAJI BAADA YA KUPITA KWENYE DIMBWI

farujoni

Senior Member
Dec 19, 2016
189
246
Namiliki gari aina ya toyota vitz wakati natoka nyunbani naenda kazini nkapiata pale mataa ya kamata kwa mbele pale ambapo wanatengeneza mwendo kasi.Maji ni mengi umo ila wakati napita gari yangu aikuzima ila cha kushangaza maji yalikuwa yanaingia kupitia kwenye escalator na kwenye kukanyagia brake naomba kujua ninkawaida au gari yangu ni mbovu imetoboka ila uku kwa passenger sit maji ayajaingia kabisa msaada jamani...
 
Hapo jiandae kununua mashine mpya. Kama umeizima kajaribu kuwasha muda huu uone kama itawaka.
 
Namiliki gari aina ya toyota vitz wakati natoka nyunbani naenda kazini nkapiata pale mataa ya kamata kwa mbele pale ambapo wanatengeneza mwendo kasi.Maji ni mengi umo ila wakati napita gari yangu aikuzima ila cha kushangaza maji yalikuwa yanaingia kupitia kwenye escalator na kwenye kukanyagia brake naomba kujua ninkawaida au gari yangu ni mbovu imetoboka ila uku kwa passenger sit maji ayajaingia kabisa msaada jamani...
gari ya bei rahisi hiyo,nunua prado new model, haziingizi maji ama gari za NYUMBU palee kibaha zipo juu, pia jeep japo hazina spidi
 
Namiliki gari aina ya toyota vitz wakati natoka nyunbani naenda kazini nkapiata pale mataa ya kamata kwa mbele pale ambapo wanatengeneza mwendo kasi.Maji ni mengi umo ila wakati napita gari yangu aikuzima ila cha kushangaza maji yalikuwa yanaingia kupitia kwenye escalator na kwenye kukanyagia brake naomba kujua ninkawaida au gari yangu ni mbovu imetoboka ila uku kwa passenger sit maji ayajaingia kabisa msaada jamani...
Ni kawaida mkuu, bodi ya gari sio water proof, kuna entrances! Mfano sehemu za wiring toka dashboard kwenda nje, pedals za excelarator/brakes /crutch etc
 
Duuuh alafu uwezi amini jana gari hilili limeuwa betri mpaka gari ikazima nkachahi betri nkiwasha redio tuuu gari taa ya betei inawaka gari inazima
 
Back
Top Bottom