Gari hizi Spare zake zinapatikana Tanzania

mzee wa manzese

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
670
215
Naomba kufahamiwisha na mtu yeyote anayefahamu Gari hizi kama spare zake zinapatikana hapa kwetu tz Audi A4,Peugeot 307,206,na Volvo s40 kwa kweli nimevutiwa na hizi gari,ila sijafahamu wapi naweza kupata spare

wanawasilisha
 
Naomba kufahamiwisha na mtu yeyote anayefahamu Gari hizi kama spare zake zinapatikana hapa kwetu tz Audi A4,Peugeot 307,206,na Volvo s40 kwa kweli nimevutiwa na hizi gari,ila sijafahamu wapi naweza kupata spare

wanawasilisha

tafuta wenye nazo watakwambia wanatoa wapi....mimi huwa naagiza UK nina watu wangu kule...siamini za bongo wala nairobi....ukitaka spare ya european/american car yoyote nakuagizia
 
Gari ya msweden hiyo sikushauri bro, I drive one(2006 Volvo s40), excellent car, drives very well, adequate power, inabana space kidogo but overall comfortable and trustworthy car, after all ni Volvo so it's a tank.
Tatizo lipo kwenye spare, they a VERY VERY expensive na upatikanaji wake sio rahisi and the bad news is that the s40 line is discontinued kwahiyo in the future spare zitakuwa ngumu zaidi kupata ingawa zinashare almost all parts na v50 na c30 kidogo, get a Germany car una better chances za kupata parts bongo even though personally naamini volvos are better but expensive to maintain,
 
Nashukuru sana UB16 kwa maelezo yako kweli volvo ni gari nzuri sana,je audi spare zipo hapa Tanzania,hii gari nimetokea kuipenda sana

BF191282_c649e5.jpg
 
Sina experience sana na Audi, but my assumption is spares are more available that Volvo's
 
Mkuu, kama hizo gari zote ni RHD basi zungumza na watu walipo UK na wanaweza kukusaidia kama kuna anaefanya hivyo.

UK kuna "spare parts" nyingi tu zingine zikiwa ni "used" na sio lazima ununue spare mpya, wewe ni pesa yako tu.

Kwa Spare za AUDI A4 za bei nafuu, nenda website hii ya UK: Audi A4 Parts, Cheap Audi A4 Spare Parts Online

Hapohapo pia unaweza kupata spare za hayo magari mengine.
 
Audi zipo chache bado na spares zinapatikana tu. Ni gari ngumu sana kuharibika, kwa hiyo hata kama spare ni ghali utainunua mara moja kwa miaka kadhaa.
Jilipue baba.
Nashukuru sana UB16 kwa maelezo yako kweli volvo ni gari nzuri sana,je audi spare zipo hapa Tanzania,hii gari nimetokea kuipenda sana

BF191282_c649e5.jpg
 
Pia kuhusu spea za Volvo upatikanaji wake upoje?msaada mwenye kuyafahamu vyema Jamani.
 
Back
Top Bottom